Baada ya tukio la jana katika kambi ya Jeshi Gongo la Mboto nimeona ni vyema tukiliangalia na hili ....................
April mwaka 2009 ulitokea mlipuko wa mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi kambi ya Mbagala, na baada ya tukio hili viongozi wanaohusika na dhamana ya majeshi na ulinzi...