NAKUSHAURI
Watu wengi mnajinyima furaha, watu wengi pale mnapotakiwa kulia hamtaki kulia, pale mnapotakiwa kufurahia hamtaki kufurahia. Watu wengi mnakufa kwa maumivu makubwa ya moyo.
Ngoja nikufundishe kitu.
Siku ukifiwa na mtu unayempenda, lia sana, tena lia kuliko wote ikiwezekana...