Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.
Habari za leo wakuu
Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam. Nimekuwa nikiwasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam katika kuwanunulia bidhaa kwenye maduka ya jumla yaliopo hapa Dar. Hivyo haimlazimu mtu kusafiri kutoka mikoa ya mbali kuja Dar kufunga mzigo, ambapo utakuta faida...
It was 2015 katika uchaguzi Mkuu by that time nilikuwa chuo nilirudi nyumbani kwetu mkoa wa kagera Jimbo X
Niliweka Nia ya kugombea ubunge Sasa Katika ya safari Viongozi wa CHADEMA waliniomba nimwachie Jimbo ili Mimi nigombee 2020 na kweli nilimuachia. Mimi Kama master planner wa siasa...
Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.
Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.
Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa:
Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote...
Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ.
Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa.
Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara paap! kuna kitoto ama mzee yupo katikati ya barabara, tena yupo katikati sehemu ambayo akilini kmwako...
Hii mada nilikuwa nataka niielezee kwa upana ila nadhani kwa ufupi itajitosheleza.
Timu za Simba na Yanga zimebeba mioyo ya asilimia kubwa ya Watanzania. Wote tunajua inayosemekana ni historia ya Yanga katika siasa za nchi hii. Sitaingia sana huko ila uthibitisho upo na ni mkubwa kuwa mpaka...
Wasalaam,
Ukifanya kauchunguzi kadogo kwa familia nyingi zenye uchumi imara (achana na accidental millionaires), utagundua kuwa ni mipira ya mbali iliyopigwa au kuchezwa na watangulizi wa familia hizo. Mipira ya mbali huchezwa na wajasiriamali wachache sana hapa duniani.
Kwetu hapa ni...
Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi na wa kuokoteza.
Timu masikini azifiki nusu wala fainali CAF, kufika huko ni lazima kwanza kikosi...
Mtanzania ni mtu ambaye kwa kweli ni ngumu sana kujua anataka nini. Watanzania wengi kama si wote. Ashamum si matusi. Wamejawa na Unafiq wa SGR. Kama ni barabara basi kiwango cha Lami.
Tena Lami ya miaka yetu ile inatengenezwa na Kajima au Konoike.
Mtanzania unaweza ukamwona kwa mbali...
Habari zenu wakuu,
Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo, washereheshaji, muziki, tarumbeta, nguo, picha, chakula na vinywaji, saloon n. k
Naomba kuuliza...
Jana nimeangalia mechi Yanga vs Namungo nimekubali Musonda anajua. Namungo hawakuweza kumkaba Bali kumshika jezi tu jamaa anapepea hakamatiki!
Tumfundishe Musonda kuwa akishikwa na beki awe anaanguka asiende!! Tupate Faulo au penati mechi ya Simba maana hawataweza kumkaba! Morisson awe mentor...
Habari .
Vitu vya kuzingatia,
-privacy
-comfotability
-Flexibility
-Security
-saving of space n.k
Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia
Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
Usifanye biashara kwa hela ya kustaafu kama hujawahi fanya biashara, ili usipate magonjwa ya moyo, pressure, kupooza nk. Ni mara kumi upambane na wapangaji akishindwa lipa utasamehe ataingia mwingine, utaishi.
Mzee wangu tangu astaafu ana miaka 27 kwa afya tele, shida tu pressure ya macho...
Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta.
Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.
Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu.
Hatua hii ya...
Mimi ninaomba kuwepo na utaratibu wa kuangalia uwezekano wa wanandoa ambao ni watumishi wa umma kukaa karibu na familia zao. Ndoa nyingi sasa hivi zipo mashakani kwa sababu ya kazi mfano unakuta mama Ni mwalimu Bukoba, halafu baba naye yupo Mtwara.
Na mifano mingine tunaona hata utendaji tuu wa...
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.
Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu.
Hatua hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.