Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.
Ila nikikumbuka hizi nyimbo nafurahi Ila Kuna mda napata huzuni Kuna watu tulikua tunaimba nao sasa hivi ni marehemu time flies
Wachuja nafaka yaleo Kali
Hardman-tamala
Adili ft Domo kaya pekee yangu
Fid Q mshika mawili
Jay mo cheza kwa step
Jaffarai Niko bize
Afande Sele mtizamo
Proff jay ndio...
Naomba serikali iliangalie hili.
Katika utafiti niliofanya nimegundua jambo hili:
Mfumo wa kuajiri kupitia ajira portal na kuita watu kwenye usaili wa mchujo physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi.
Fedha zinazotumika kusafirisha maafisa utumishi kutoka ofisini kwao...
Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili
Mahakama imesema malalamiko ya UNITA hayakukidhi matakwa ya kuruhusu chombo hicho cha kisheria...
Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na uhalisia, sasa simba hawamtaki hata yeye, mwaka huu mpaka moo hawatamtaki viongozi hawako serious kabisa...
Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Igunga, Ally Hemed amesema moja kati ya changamoto kubwa iliyojitokeza Wilayani humo kwa baadhi ya maeneo ni Makarani wa Sensa kukutana na vitendo vya kishirikina ambapo walipokuwa wakienda kwenye makazi au nyumba wanakutana na miti au vichaka badala...
Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12.
Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na mgogoro wa China na Marekani kuhusu kisiwa cha Taiwan.
Mazoezi hayo yaloanza Alhamisi ilopita...
Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni.
Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko...
Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kocha huyu kutengeneza upya timu iliyokuwa imeshapoteana.
Mpaka wakati huu tayari ameshinda michezo minne mfululizo katika ligi ya Uingereza (EPL) na inatarajiwa kwamba katika miaka ijayo atabeba makombe yote ambayo timu yake itashiriki.
Timu mbalimbali...
Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa?
Au nikiumbelel na kumuhemuhe au ubwege wa kuwazu yanayotuhusu mfano rushwa, mahari kwa watoto wetu na kabira zetu na mila zetu, tozo za vocha...
Lazima tukubaliane tunafikiri na kuishi kizamani sana wakati wenzetu wanaishi na kufikiri miaka mingi mbele.
Haya yanayoendelea lazima tufahamu hakuna shida nyingine zaidi ya watu wenye uelewa mdogo kwenye mifumo na huku mitaani.
Maendeleo ni process na mipango mikali kuikamilisha hiyo process...
Mtu aliyelogwa, sio tu mpaka awe muokota makopo, maana Kwa siku za Leo, wengi tu ambao wanaokota makopo na kwenda kutengeneza pesa!
Ukisikia mtu kalogwa, si lazima aehuke ndio iwe kielelezo chake, no!!
Kuna majamaa yanaelimu zao na familia zao huko, yamelogwa na jitu linaitwa CCM! Hayana...
Ahlan Ahlan bik
Habari zenu wana Jf, wadau wa soka na wapenzi wa wana lunyasi, giants of Africa, Simba Sc.
Jana nilipata safari kidogo kutoka Bergamo kwenda katika jiji la bandari, Piraeus nchini ugiriki .Jiioni nikiwa naitazama bahari ya meditterenian katika kitongoji cha Freattyda nikawa...
Huwezi amini nchini Kenya toka Jana kuna utitiri wa wabunge wateule kutoka vyama mbali mbali kikiwemo na chama Cha Raila Odinga wameanza kuunga juhudi Kwa Kasi ya 5g..
Soma hapa zaidi:
Today and Yesterday was a Busy Day for KENYA KWANZA
MPs Who Have Joined Kenya Kwanza
1. Nambale Constituency-...
Mama yetu Yuko poa sana Kwa Sasa . Mcheshi ,mpole na ana chapa kazi kweli kweli. ila Sasa baba yetu haijulikani kapotelea wapi. . Misafara kama hii ya ziara za mikoani ilitakiwa baba anakuwa closed na mama! Si mnaijua baridi ya njombe? au ni namna gani wajameni .! Mama anakwenda , congo ...
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za...
Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe?
Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka...
Mimi sio mtaalamu wa historia, ila kwa historia yangu ndogo niliyopata O-level ninaamini Tanganyika chini ya Ujerumani ingekuwa Taifa kubwa sana hapa Afrika zaidi ya hapa ilipo leo. Waliotuharibia walikuwa Waingereza waliokabidhiwa taifa leo. Hatukupaswa tuwe marafiki na waingereza. They were...
Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.