Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.
Wazazi tuungane kukemea hili.
Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance.
Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani.
Siku za michezo ni michezo kwelikweli
Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa
Na bado tulifaulu vizuri msingi...
Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji.
Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna.
Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji...
Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China ilifunga vipokezi vya televisheni vya kidijitali nyumbani kwake, na sasa anaweza kutazama TV ili kuelewa...
Na sasa Zanzibar inatajwa kuliko nchi yeyote ile hapa Afrika na ni baada ya kutokea Rais Mwanamke ambae ni kutokea Zanzibar,msema kweli mpenzi wa Mungu ,Raisi Samia amelipaisha jina la Zanzibar katika kiwango kikuu na kabla jua halijakuchwa kiumbe mwengine akaibuka huyu nae ndio amepigilia...
Wakati CHADEMA kikiwa kime susa mara kadhaa katika muhimili wa Bunge sasa kimeamua kwenda kuonyesha umaahili huo katika muhimili wa pili ambao ni mahakama. Tabia hii au sera hii kwa chama hicho kikubwa cha upinzani huko bungeni ilikuwa kususa na kuweka plasta midomoni. Sera hii ambayo labda...
Habari wakuu.
Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.
Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.
Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu...
Yaani wengi watadhani ni as mulizi tu za Jomba Buji, lakini huku ndiko haswa tulikotoka
1. NGOMA YA MDUNDIKO
Zama zile MDUNDIKO ulipita mtaa kwa mtaa jijini, ni mwendo mpwitompwito, nyimbo, ngoma, matusi, mikatiko, yaani kivumbi na jasho, unatoka kwenu Buguruni unajikuta uko Kawe Mzimuni, na...
Amani na utulivu,
Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.
Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa...
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo.
Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani.
Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa.
Britanicca
Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo...
Ni jambo jema sana kujisomea.
Kipengele muhimu sana cha elimu
Ni kujisomea baada ya kumaliza shule
Nje ya darasa
Mbali na walimu
Bila kutarajia cheti
Bali kwa 'interest' tu
Sawasawa na apendavyo mtu.
Kuna wanaopenda hadithi
Kuna wanaopenda biashara
Kuna wanaopenda teknolijia
Kuna wanaopenda...
Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako.
Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yaani unamsaidia jambo kwa wema then yeye...
Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao.
Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
Mzuqa wanajamvi Kwa wale wapenzi wa spaghetti movie nadhani mnawakumbuka Hawa miamba watatu walizinguana Sana kwenye Hii cinema
Elli wallach a.k.a Tuko alikua bonge la comedian humo hahahahaha jamaa ana tamaa hatari mara kibao anafanya njama za kumsnich mchizi wake Brandy ila harakati zake...
Habarini wakuu
Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV.
Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi...
Mara nyingi unaweza kudhani kwamba upo salama na umezungukwa na watu wanaokutakia mafanikio na kumbe ni kinyume chake.
Kuna mtu pale Halmashauri nilimuomba nimuweke kwenye CV yangu kama referee akakubali.
Nikampa rafiki yangu namba yake ampigie ajitambulishe kama HR officer wa shirika fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.