Mzuka wanajamvi
Ngebe, Nyodo, majigambo, madharau, hulka, mihemko, husda, kujiona na kiburi cha Julius Malema kinafika ukingoni. Baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi Africa kusini kuonesha chama chake EFF kinafanya vibaya sana.
Malema ambaye alikuwa "UVCCM" ya ANC alifukuzwa kwenye chama kwa...