Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amezitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa wa jinsia kati ya wanaume na wanawake ili kuwepo kwa usawa mahala pa kazi.
Ameyasema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa Benki ya CRDB walipokutana katika chakula...
Ni muhimu kuelewa kwamba kutegemea kipato kimoja pekee hakuwezi kukupa uhuru wa kifedha. Ni muhimu kujenga vyanzo vya mapato mbalimbali ili kuweza kuwa na uhakika wa maisha yako ya baadaye.
Kuna njia mbalimbali za kupata mapato mengine, kama vile kuanzisha biashara yako, kuwekeza katika miradi...
Kuelekea siku ya wanawake Duniani, Jamii Forums inatambua umuhimu wa wanawake kushiriki katika sekta mbalimbali kwa kuwa wana uwezo na juhudi za kufanya kazi kwa ufanisi na inajivunia ufanisi na jitihada zinazooneshwa na wanawake katika kutimiza majukumu yao.
Mwanamke anapaswa kuaminiwa kupewa...
Habari za maisha wakuu,
Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia.
Nimechungulia kayika tovuti kuu ya serikali lakini naona inapwaya information ilizonazo hazijitoshelezi ofisi...
Wanabodi,
Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri.
Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu...
Heshima kwenu Wakuu.
Naam, hii ni fursa ya kubadilishana mawazo hasa kwa wale wenye changamoto za maisha ili ku-share experiences na skills za hapa na pale. Kwahiyo karibu sana na ujisikie huru. Itapendeza iwapo utaelezea kwa undani kidogo changamoto uliyonayo ili iwe rahisi kusaidiwa.
Je...
Habari wakuu.
Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering.
Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops.
Sehemu iwe yoyote...
Tuache siasa kwa kila kitu.
Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu.
Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).
Rashid K. Mchatta ameteuliwa kuwa Skauti wa Mkuu Tanzania, Gilead J. Teri...
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa TZ
Ntaanza kuzizungumzia kimakundi baadhi ya mashine ambazo watu wa kipato chochote wanaweza kuwa...
Habari za Jumapili,
Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho, wengine kutokuwa na hamu ya mapenzi kwa kuwa na stress za kutosha kutokana na madeni ya vikoba, wengine hunyang'anywa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
1. Dar es Salaam
2. Arusha
3. Mwanza
4. Mbeya
Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara?
Ila ninachofurahi hata mikoa ya...
Habari za muda huu ndugu watumishi wa Umma.
Naomba uzi huu Uwe maalum kabisa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili watumishi wa umma kabla, wakati na baada ya kupata uhamisho wa kikazi.
Mfano Mimi binafsi niliomba uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi...
Hili jambo kwa mtazamo wangu, watanzania tunaandaliwa kwa jambo kubwa lijalo hapo mbeleni, bado hatujui ni jambo gani, ila linakuja wakati ambao hatutaweza tumia mbadala wowote zaidi ya huo ujao... Ni nini..?? Mimi na wewe hatujui...
Tusubiri tuone kama je
Ni huu ujuo wa mtandao wa Musk..??
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.