"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI”
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
Picha: Joseph Selasini
Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa CHADEMA. Niliondoka CHADEMA mwezi Juni 2020, na tangu nilipoondoka CHADEMA sikurejea tena"
Joseph...
Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
Hakuna ubishi kwamba ACT Wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako Serikalini
Kadhalika ni wazi kuwa NCCR Mageuzi inayoongozwa na Mwenyekiti James Mbatia akisaidiwa na Katibu Mkuu Komu na Mzee Selasini sasa ni rasmi CHADEMA-B
Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu.
Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma.
Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi.
Kwa hali hii kumbe rais...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini.
Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza.
=======
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua...
Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ametinga Mahakama Kuu ya Tanzania na ameshafungua kesi ya kikatiba kuhusu kujiuzulu kwa Spika Job Yustino Ndugai. Kwa taarifa nilizonazo binafsi, tayari kesi husika imeshasajiliwa na imepangiwa jopo la Majaji watatu la kuisikiliza kesi hiyo...
Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai.
Ulianza mjadala kwamba kwanini ktk barua yake ameandika herufi kubwa pekee? KIMSINGI kilichosambaa mtandaoni siyo barua bali ni TAARIFA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ambayo ni sawasawa...
Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo...
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
Nimekuwa nikisikiliza "clips" mbalimbali za Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mzee Mbatia hakika mtakubaliana nami kuwa mazungumzo yake yamejaa chuki kali dhidi ya Serikali ya awamu ya 6.
Msingi wa chuki zake zinatokana na swahiba wake Mbowe kufikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Ufanisi na kuaminika serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa pia Mbatia amesema kuna mpasuko mkubwa Serikalini.
Mbatia amedai kukosekana kwa uchaguzi mwaka jana kumeleta matatizo mengi na hali sio nzuri.
“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?
Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia
#KongamanoLaCUF
“Samia Suluhu...
Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.