Hatakama Watatuua sote hatuwezi kukubali Serikali inavyondeshwa kibabe bila kufuata Katiba, kila mtu kambale mamba masharubu tu hatuwezi kuendelea na mambo ya ajabu ajabu kama haya, kwanini hata kauli ya Amir Jeshi Mkuu haiheshimiwi!?? Tanzania tunaenda wapi??.
Nasema kwa dhati kabisa kwamba...
Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
Katikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo haijawahi kutokea na hospitali zitazidiwa sana!
Ni janga kubwa!! Wee mbatia wewe!! yaani unaamua...
Kiongozi wa Act -Wazalendo na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi ndugu Mbatia wamemtembelea Mbowe na kumtia moyo juu ya mapambano ya demokrasia. Walimtembelea katika Gereza la Ukonga na Mhe. Zitto akachukua nafasi hiyo kumpa zawadi ya chakula cha ubongo
Chanzo Act -Wazalendo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.