Ndugu zangu, kuna ukweli hapa kuwa ukiwa na roho nzuri sana, ni nadra sana kufanikiwa kimaisha?
Binafsi kwangu naona ili ufanikiwe kimaisha pale unapopata nafasi, kazi/ biashara inayokupa kipato unapaswa kuwa katili sana.
Ukatili huu ni kuwa na roho mbaya kwenye pesa, yaani siyo kila mtu...