Wanajamii habari zenu wote.
Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa.
Ndugu...
Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi.
Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
Habari wana JF,
Nimekuwa nikijaribu sana kuweza kuotesha mazao mbalimbali katika bustani yangu Salasala hii yote ni kutaka kujifunza zaidi kwasababu ni kazi nayoipenda sana.
Zoezi 1
Nilijaribu kuotesha mbegu mbalimbali za machungwa, chenza na limao kupitia machungwa tunayokula na pia...
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika.
1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology
2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture
Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo.
GMO ni nini?
Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni. Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au...
Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012.
Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha...
Wakuu habari.
Naombeni msaada anayeijua mbegu bora ya hoho inayoweza kabiliana na tatizo la kinyaushi.
Aise ili tatizo limekuwa changamoto sana kwa baadhi ya mazao ya mbogamboga.
Ikiwezekana taja jina la mbegu na bei yake kulingana na gram
Nitashukru sana nikipata huo msaada
Sasa hivi kuna changamoto kubwa ya uhaba wa mvua au mabadiliko ya tabia nchi. Serikali iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji cha kisasa kinachotumia maji machache katika mashamba makubwa kwenye mikoa na wilaya ambazo zinafaa kwa umwagiliaji. Wananchi/vijana wapewe maeneo walime kwa kumwagilia...
Jipatie mbegu za mbogamboga OPV na siyo HYBRID, zinaota vizuri na zinazaa sana.
Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia kilo 10. Mzigo unatumwa popote kwa uaminifu mkubwa.
Piga/sms/Whatsapp 0752042670
1: mchicha aina zote
2: matango (aina ya Ashley)
3: Nyanya (aina ya tengeru na riogrande)
4...
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
Nina mbegu za pilipili mwendokasi rangi ya njano OPV, siyo Hybrid.
Zimechambuliwa vizuri na zinazaa vizuri sana
Kilo moja ni shilingi elfu thelatini na nane 38,000/=
Natuma popote kwa uaminifu mkubwa
Piga/sms/whatsapp 0752042670
Karibu sana
Habari,
Ninahitaji mbegu F2 za mbogamboga zifuatazo.
CARROTS
SPINACH (Fordhook Giant)
SUKUMAWIKI (Collards Green)
BEETROOTS
Nachukua mpaka kilo 50 kwa kila aina ya mbegu
0752042670
Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
Habar zenu wadau
Wapi nitapata hizo mbegu au miche ya mchongoma kwa ajili ya kupanda kwenye kiwanja changu nataka niweke fance ya mti iyo iwe kama bustani kiwanja kimeshaanza msingi nataka ata nikihamia iwe tayar iyo bustan imeshakuwa kubwa.
Mnisamehe kwa uwandishi mbovu sio mzuri sana wa...
Kumekuwa na katabia fulani hivi kutoka kwa wadada daraja fulani hivi wanaoona eti hamna mwanaume anayeweza kuwapa mimba kwa njia asilia kwa sababu wao ni wazuri sana na wana hela sana.
Wadada hao hupandikizwa mbegu kutoka benki ya mbegu za kiume.
Je, ni nini usalama wa mbegu hizo kwa kizazi...
Bailey Ennis mwenye umri wa miaka 24 alitamani kupata mtoto lakini hakuwa kwenye mahusiano. Alitafuta kwenye interest na kupata sperm donor anaeuza kit ya sperm.
Pamoja na gharama za post kit moja ni £25. Bailey alifanikiwa kutunga ujauzito October 2021 na sasa ni mama mpya baada ya...
Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60
Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro.
Wapo Majike 9 na Madume 9
Wote Wanauzwa
Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu
Tuwasiliane
+255738141339
Text, Call or Whatsapp...
baba
bei
bei nafuu
bunju
christmas
dar
dar es salaam
fursa
hybrid
jumla
kisasa
mama yao
mbegu
mwaka
mwaka 2021
nafuu
nauza
nguruwe
nyama
nyama ya nguruwe
offer
umri
watoto
Tarehe 22 Juni katika kituo elekezi cha kuzalisha mbegu za kutoka anga ya juu kilichoko wilayani Tongzhou mjini Beijing, China, aina mbalimbali za matunda na mboga zilipandwa kwa kutumia mbegu zilizopelekwa kwenye anga ya juu.
Ikilinganishwa na mbegu za ardhini, mbegu kutoka anga ya juu...