mbegu

  1. Analogia Malenga

    Mbegu, mayai ya uzazi biashara inayokua kwa kasi Kenya

    Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza...
  2. J

    Faida 7 zinazopatikana kwenye mbegu ya Parachichi

    Utafiti unaonyesha kuwa mbegu ya parachichi inakiwango cha asilimia 65 cha amino acids na pia ina kiwango kikubwa cha fiber ukilinganisha na vyakula vingine. FAIDA ZA MBEGU YA PARACHICHI 1- Inapambana na tatizo la arthritis, sababu mbegu ya parachichi ni anti-inflammatory ( inatabia ya...
  3. I am Groot

    Jinsi ya kuboresha afya ya mbegu za kiume (sperms)

    Utengenezaji wa mbegu za kiume katika kiwanda cha kutengenezea mbegu katika mwili wa mwanaume (mapumbu) huchukua muda mrefu kuliko wengi wanavyodhani. Mfumo hutengeneza sperms kila siku, lakini mzunguko kamilifu wa sperm zilizokomaa kabisa unachukua kati ya siku 64 mpaka 74. Wakati wa mlolongo...
  4. Woga tupa kulee

    'Mwendazake' alipanda MBEGU za kujimaliza kwa mkono wake mwenyewe

    Ndio. Kila nikitafakari uongozi wa mwendazake, ni kuwa alipanda MBEGU za kujimaliza mwenyewe na hatimae kifo chake. Katika nchi yeyote, Kuna Mambo ambayo ni tunu za taifa Hilo. Kwa Tanzania, umoja na mshikamano Kati ya makabila na dini na kada mbalimbali ni tunu ilio fanya taifa letu kusimama...
  5. L

    Kwanini tunawanyamazia wanaoanza kupandikiza mbegu ya kutaka kuharibu amani yetu ambayo tumejivunia kwa miaka mingi?

    Ni muda sasa unaendelea kupita tangu baadhi ya watu wakiwemo viongozi hasa wabunge wakijitokeza hadharani na kutoa kauli za kuvunja katiba bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria. Wabunge wa bunge lilipita wakiwemo na hata hili la sasa wanajitokeza kwenye vikao vya bunge na kutaka...
  6. Chachu Ombara

    Habari njema kwa wafugaji wa Kagera na mikoa jirani; Jipatie mbegu za Azolla kwa bei nafuu

    Habari waJF, Kwa wale wafugaji wenzangu wa mkoa wa Kagera na mikoa jirani sasa unaweza kupata mbegu za Azolla zenye ubora unaohitajika kwa bei rafiki kabisa. Tuwasiliane kupitia namba 0625951181 Faida za Azolla kwa kifupi ni; 1. Ni nyongeza ya chakula cha kuku na mifugo mingine 2. Ina...
  7. S

    Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga

    Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki. Nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga.
  8. Mangi wa Rombo

    Mbegu za Mboga Mboga - Msimu ndIo huu

    Habari! Mkulima Mwerevu Agrovet inawatangazia wakulima wote wa mboga mboga kuwa sasa wanazo mbegu nzuri za kisasa (Hybrid Seed) kwa ajili ya wakulima. Msimu wa kuandaa mashamba ndo huu, usichelewe! 1. Mbegu za Nyanya, Assila F1 2. Mbegu za cabbage victoria 3. Mbegu za Vitunguu Ushauri bure...
  9. Analogia Malenga

    Waziri azuia majaribio ya mbegu za GMO

    Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda ameagiza kusitishwa kwa shughuli za majaribio ya mbegu za (Genetically Modified Organisms) GMO ili kulinda rasilimali na mbegu za ndani Ameonesha wasiwasi juu ya athari za GMO ambazo zikiruhusiwa zinaweza kulazimisha wakulima wawe tegemezi wa mbegu za kutoka...
  10. S

    CCM baada ya kufanya rafu zao walikula mpaka mbegu sasa wanalazimisha wabunge kwa nguvu

    Ukiangalia na ukimsikiliza spika ni kama vile mtu anaongea jambo kama mtu anaenda kuposa kwa mwanamke hasiye mjua, chama cha CHADEMA kina wanachama wake , viongozi wake, sera zake , miongozo yake , kanuni zake pamoja na katiba yake , hivyo jambo lolote linalofanyika kwa Chama linafuata hizo...
  11. M

    Natafuta mbegu nzuri za Migomba kwa Dar es Salaam

    Wajumbe natumaini hamjambo. Naomba kwa yeyote anayejua namna ya kupata mbegu nzuri ya migomba kwa maeneo ya karibu ndani ya jiji hili la DAR Mahitaji yangu sio makubwa kama 100 hadi 200 kwa kuanzia. Ziwe za kupika na kuivisha pia.
  12. Return Of Undertaker

    Uchaguzi 2020 Serikali na CCM wanapanda mbegu ya visasi na vita ya wenyewe kwa wenyewe, uchukuaji na urejeshaji wa fomu umekuwa vita?

    Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI? Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo. Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na...
  13. kyenshaja

    Tunatafuta Wabia kwa mradi wa 1.Mafuta ya alizeti (2)Kufuga kuku wa kienyeji (3)Kufungua karakana na mafunzo ya kazi ya mikono

    Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
  14. Patriot

    Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

    Nimeanza kuona watu wakitetea tatizo hili la rushwa kwa kusema lete ushahidi. Ukweli ni kwamba nafasi ya wajumbe wa CCM kuamua nani awe mgombea, inatumika vibaya sana! Hawa ni watu ambao hawalipwi mshahara. Wakati wa uchaguzi hutegemea kipato toka kwa wgombea huu ni mtindo ambao umejionesha...
  15. YEHODAYA

    Je, unajua mbegu za mimea yote duniani zinahifadhiwa benki Norway zisije kupotea duniani? Benki hii hapa

    Kuna benki inayohifadhi mbegu za mimea yote duniani kutoka nchi zote duniani ili mimea isije potea.Ikipotea waweza kwenda ku draw ukapewa kupanda nchini kwako. Benki yenyewe hii hapa
  16. K

    Nauza unga wa mbegu za maboga (Pumpkin Seed Flour). - Arusha

    Karibuni nauza Unga wa Mbegu za Maboga Pure 100% haujachanganywa na chochote. Unga huu una faida kemkem kwa afya zetu na kwa umri wowote. Kama vile umsaidia Mama anayenyonyesha Kuongeza maziwa, kinga na dawa bora dhidi ya Kisukari na Shinikizo la Damu, kinga dhidi ya tezi dume n.k Bei ni...
  17. L

    Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Wana jamvi, Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar ule unao kuwa mlaini maana mimi nilijaribu lakini unatoka mgumu hauwi mlaini na wenye unga, nifanye nini?. ========= Jinsi ya kupika Ubuyu Mahitaji. 1. Sukari vikombe 2 2. Maji vikombe 2 3. Nusu kikombe unga wa...
  18. covid 19

    Wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya Kiroba

    wakuu, salam kama heading inavyojieleza wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya kiroba naziitaji na pia na gharama zake?
  19. Kigonash

    Hapa duniani kuna mbegu mbili; aliyopanda Mungu na ile aliyopanda Shetani

    Kuna andiko katika biblia sikumbuki mstari gani lakini nakumbuka yesu alikuwa anafundisha wafuasi wake akasema mpanzi alikwenda kupanda mbegu katika konde lakini zilipoota zikaota na magugu mwenye shamba alauliza mbona nilipanda mbegu nzuri magugu yametoka wapi? Yesu akawaambia yule mwovu Usk...
  20. K

    Bei ya mbegu za maboga katika masoko ya Dar es Salaam, Arusha na baadhi ya Mikoa ya Jirani

    Asalaam Wadau, Ni matumaini yangu mko salama na hongereni na kazi! Katika pitapita zangu nimeona kwa Sasa kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa Mbegu za maboga baada ya kubainika kuwa zinamsaada mkubwa katika afya zetu na kuwa saidia wenye maradhi ya shinikizo la damu(BP),Wenye kisukari etc. Sasa...
Back
Top Bottom