Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka.
Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla.
Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata.
Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620.
Ushauri, mawazo au maelekezo kuhusu upatikanaji wake pia unapolelewa.
Hello Wana JF
Naombeni msaada wa ushauri, mawazo au maelekezo wa mahali au wauzaji wa mbegu za Safflower kwa hapa Tanzania
N:B
Soko kuu la Kariakoo( Nimetafuta bila mafanikio)
Habari wana jamvi,
Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
Mimi ni mmojawapo wa wakulima tulioingia mkataba na wizara ya Kilimo kuzalisha mbegu bora za kilimo kupitia wakala wa uzalishaji wa mbegu bora za Kilimo; ASA.
Ni takribani miezi 9 sasa tangu Agosti na September mwaka 2021tulizalisha na kuuza mbegu kwa mujibu wa mkataba wa uzalishaji hadi sasa...
Kwa nchi ya USA mbegu zina hati miliki na kilimo cha hapa ni lazima ununue mbegu kila msimu. Mbegu hizi ambazo wamezitengeneza na kuhakikisha mazao hayawi na mbegu ili waweze kuuza mbegu. Nimesikia kuna uwekezaji mkubwa wa kilimo unakuja kutoka USA. Nashauri sana kwenye mikataba hii msikubali...
Habarini wakuu na poleni kwa majukumu ya kazi.
Kijana wenu niliingia shambani na kuzalisha mbegu za mchicha mweupe superlishe ila changamoto imekuja kwenye soko la bidhaa hii toka soko kuu la Kariakoo lilipopata maswaibu ya kuungua.
Naombeni ushauri au kwa yoyote anayeweza kunipatia mteja au...
Wadau,
Nikiwa nahangaika kupata materials ya lishe kwa ajili ya shangazi yangu mwenye kisukari.
Nilizunguka soko la mbuyuni Moshi kila kona kutafuta mbegu za maboga sehemu moja nilienda bei Kg 1 ni kuanzia 15000, nikajua hataki kuniuzia kwa sababu mwaka jana nilinunua 8000 kwa kilo.
Nikaenda...
Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria.
Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa uliokua unanisumbua bila kujua nini ufumbuzi wake.
Mwaka jana mwezi wa tatu nikaona ngoja niingie...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Machi 24, 2022:
“Tutashirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uzalishaji wa mbegu za mazao mbalimbali, ili kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa uzalishaji wa mbegu bora.
“Lengo letu ni kumaliza tatizo la...
Ili jamii iweze kuendela inahitaji mambo mengi sana ikiwamo mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Katika kuhakikisha mipango ya mabo mbalimbali inatokea katika uhalisia viongozi wamekuwa wakitoa ahadi lukuki katika kufanikisha mipango ya maendeloeo na kutatua kero za wanachi wa jamii husika pale...
RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303
Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe.
Mavuno mengi magunia 30 kwa eka.
Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi.
Bei: sh 4,500 kwa kilo.
Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja
Tupigie
0755325442
Sijui kama ni maendeleo au ni kinyume chake.
Leo kuna mazao mengi yasiyo na mbegu.
Ukinunua mbegu ukazalisha mazao hayo, hicho unachovuna huwezi kukipanda kikazaa.
Ili upande tena, lazima ukanunue tena mbegu.
Haya yanatokana na na teknolojia ya kubadili vinasaba - genetically modified crops...
Habari watalamu.... Mm naomba ufahamu ktk hili ,hivi mbegu za kiume hata tone zinafaa kumpa mimba mwanamke? Au nikiasi gani Cha mbegu kinatosha kubebesha mimba, je Ni mbegu zile za kwanza au hata zinazokuja nyuma baabada ya zile za kwanza kufyatuka hizi za nwisho mwisho zinazoishirizia ukiingiza...
Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha.
Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku wamebainika kuwa na shahawa ambazo ni bora zaidi.
Tatizo la uzazi kwa wanaume limeathiri karibu nusu ya...
Hizi mbegu pamoja na majani,magome na mizizi ya mti wa Mlonge vimekuwa na faida nyingi za kiafya kwa watu.
Sasa kuna eneo moja huko mikoani nilikoenda kutembelea ndugu zangu nimekuta hiyo miti ipo mingi sana. Kwakuwa ni majira ya kiangazi,miti hii imepukutisha majani yake kama miti mingine...
Hapo sio zamani sana kulikuwa na jamii ya Panya iliyopenda sana kula mbengu za mpunga, hali ilikuwa mbaya sana kwa wakulima, panya wenyewe na hizo mbegu, sababu kutokana na wingi wa panya ilipelekea kupunguza idadi ya mbegu za kupanda hali iliyopelekea wakulima kufa kwa njaa na kupunguza nguvu...
Hii inatuhusu vijana wengi tulio kwenye ndoa na tunaotarajia.
Wengi wetu tumekuwa wa kwanza kupoteza heshima ama kutoziheshimu NDOA zetu pia ata na wenza wetu.
Hivi ni yupi kati yetu anayeweza kustahamili Ubaya uleule tunaowafanyia kisha kufanyiwa wewe.
Kijana mwenzangu JAMBO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.