mbegu

  1. C

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kuanzisha Duka la Mbolea na mbegu za mazao

    Salaam! Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea. Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo. Asanteni.
  2. Nauza mapapai ya kisasa mbegu ya Carina na Malkia

    wana JF naitw john napatikana Kibaha pwani nauza Mapapai ya kisasa makubwa kwa madogo karibuni sana kwa mawasiliano 0686301689 pamoja sana bei za shamba
  3. Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  4. Natafuta Mbegu za miti ya matunda mbalimbali

    Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati mbaya sikuhifadhi namba yao. Mwenye kumbukumbu naomba msaada tafadhali.
  5. Nauza mbegu za maboga zilizokaangwa na kusangwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali

    Karibu kwa mbegu za maboga zilizokaangwa na zilizosagwa ambazo unaweza kuweka kwenye mboga au hata kwenye uji. Zina faida nyingi sana kwa sababu ya madini yaliyomo hasa madini ya Zinc, Phosphorus, Iron, Potassium na Magnese, kuna faida kama 11 hivi za mbegu hizi. Napatikana Dar, kwa namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…