Naipenda nchi yangu
i: Ushauri kwa Serikali - “Tanzania Tuitakayo”
Ndugu Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan
Sekta ya Elimu: Ili kuendeleza taifa letu, ni muhimu kuwekeza katika elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi vyuo vikuu. Serikali ihakikishe inaboresha miundombinu ya shule, kuongeza...