Kama kichwa kinavyojieleza!!
Ninaomba anayeifahamu maabara ya kupima magonjwa mbalimbali ya wanyama kwa jijini Mbeya ninaomba mnijuze tafadhali!
Nina viumbe hapa wameletewa madawa Mara nyingi na wataalamu wetu hawa wa "darasani" lakini hakuna maendeleo yoyote!Nilipenda nijue mifugo yangu...
Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops
before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January
Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa
mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi
laiti mwanza ingetambua...
Jamani mimi kijana umri wangu miaka 26 niko Mbeya, elimu yangu ni degree niliyoipata katika chuo cha udom na fani niliyosomea ni ualimu kwa bahati mbaya sijaajiriwa lakini bado najitafuta.
Kwa wanafunzi ambao mko mbeya mjini haijalishi ni watu wazima au vijana wadogo mnaotafuta tuition ya...
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno
Dkt. Tulia...
Akizungumza na Jamii Forums, Afisa Mawasiliano na Uhusiano wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Agrey Layson Mwaijande amesema:
Tuna mashine mbili, moja ya mafuta na nyingine ya umeme, kupata hitilafu ni vitu vya kawaida, faida yetu ni kuwa ikiharibika moja tunatumia nyingine.
Hivyo...
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA.
JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE...
Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, amemuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Bwana Benno Mallissa kuacha kuhujumu Chadema , na kwamba akiendelea na jambo hilo Watu wa Mbeya watampiga Marufuku kuhudhuria Club za Starehe za Mji huo ( Inadaiwa...
Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu Waziri Mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni...
Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi
https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk
Tundu Lissu:
- Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka tutakapowaondoa madarakani hawa wanaotunyonya.
- Hatuandamani kwa sababu tunataka kujifurahisha, au kufanya...
Maswali ya msingi katika kutembelea line hiyo:
1. Umeme nguzo zimeoza na zingine zimeinama na kulala huko msituni ikitokea Mbeya kwenda Chunya.
2. Umeme umesafirishwa zaidi ya kms 150 kutoka Mbeya hadi makongosi KVA 11 bila sub station.
3. Bado uko ziarani Mbeya bado mgao uko hawakuongopi...
Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia yote hupita hapo.
Lakini umati unaokusanyika usiku huu kwenye eneo hilo si wa kawaida , watu ni...
Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
Natafuta rafiki wakike awe mstaharabu na mpole pia sichagui dini wala Umri kwa upande wangu Umri wangu ni miaka 27 kama uko tayari nifuate pm tuongee zaidi
Position: Distribution Driver
Reference Number: CCB230829-4
Job Category: Logistics
Job Type: Permanent
Location: Mbeya, Tanzania
Job Description
Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting opportunity in Logistics department. We are looking for a talented individual with relevant skills and...
Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya Jumanne, Februari 20.2024
Akizungumza na wanahabari kwenye Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyassa zilizopo...
Salaam, Shalom!
Baada ya kumaliza msiba, tuendelee na ujenzi wa Nchi yetu.
Yalifanyika maandamano katika majiji makubwa nchini, Dar es Salaam na Mwanza, maandamano hayo yameendelea kupata mwitikio mkubwa wa wananchi, hayo yametokea kiongozi wetu ,Mkuu wa Nchi akiwa nje ya Nchi ziarani. Je ni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimesema kimekamilisha maandalizi ya kufanyika kwa maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Jumanne, Februari 20.2024 ambapo viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wakitarajiwa kuongoza maandamano hayo
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.