Habarini wakuu,
Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo.
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva aitwaye Said Rajab [35] mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T.422 AKF/T.303 APW Scania Lori mali ya Amani Uledi wa Moshi baada ya kusababisha ajali iliyopelekea majeruhi watatu.
Ajali hiyo imetokea Mei 06...
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa.
Kamanda Senga ameyasema hayo leo Jumapili Mei 05, 2024...
Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala.
Hii ni kero na kwa sababu jiji linapokea silimia kadhaa kwenye haya matangazo tunaona hawakemai hili...
Wakuu habari za jioni?
Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.
Asee mimi mwenyewe...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti.
Kisha...
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na...
Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship
Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu
Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao
KenGold FC
Pamba FC
Mbeya Kwanza FC
Biashara United FC
TMA FC
Mbeya City FC...
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.
Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa...
Wote tunajua kuwa Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki
Wanambeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar?
Kama wanambeya mtasema mpo tayari kumpokea basi atazindua route uko
Mkikataa atawaacha na machuma yenu
Mkikubali Katarama...
Wakazi wa Mbeya Mjini tunapata shida kubwa kipindi hiki cha mvua, barabara za mitaa zimeharibika sana, miundombinu imekua ni changamoto kubwa, barabara hazipitiki.
Maji yanapita barabarani, yaani unakuta barabara imekua kama mto, maji yanapita mengi. Serikali za mitaa hazina msaada, wala...
PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE
Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa .
Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa .
Ilibidi Jeshi la Polisi lifanye kazi ya ziada kupanga misululu ya wat
Kulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mby wale wa Lilongwe wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto iliyopo Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wamepatiwa mahitaji ya Shuleni na nyumbani kutoka kwa Polisi Kata ya Ilemi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki Mambuye.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi mahitaji hayo Aprili 19, 2024 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki...
Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice.
Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita Wanyakyusa lakini ukiongea nao unakuta wana asili ya kitusi ni kama mababu zao walikuja siku...
Salaam, shalom!!
Mlima kawetele ulioko ITEZI, Uyole, jijini Mbeya umeripotiwa kumeguka na kuziangukia nyumba zaidi ya 20.
Chanzo Cha janga Hilo inasemekana ni mvua nyingi zinaonyesha Nchi nzima, zilizoloanisha udongo Kwa kiasi kikubwa.
Mwanzoni, iliaminika walioko milimani wako katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.