kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Aisee
Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi.
Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna heavy na nyama choma,tukashushia na nyagi,mpaka sasa niko fully yani