Hapa mbeya ugali nyama choma unaupata kuanzia saa 11 alfajiri.

Aisee
Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi.
Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna heavy na nyama choma,tukashushia na nyagi,mpaka sasa niko fully yani
Kinachokushangaza ni kipi? Kula ugali alfajiri au kula nyama alfajiri?
 
Aisee
Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi.
Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna heavy na nyama choma,tukashushia na nyagi,mpaka sasa niko fully yani
Hata hapa tarime
 
Ngoja niende green city sasa 👌
 
Tangia ule asubuhi hujala mpaka sasa
 
Ukatengeneza na "heng'iova" nyingine hapohapo..!!
 
Back
Top Bottom