Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.
Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni 2,343,754; wanaume 1,123,823 na wanawake 1,219,926
Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo...
Kuna huu mtindo wa Tarura jiji la Mbeya hasa pale wanapofanya marekebisho ya barabara mbovu zile za ndani, huwa wanaweka kibao cha kuonesha barabara imefungwa (kwa watumiaji wa vyombo vya moto) lakini hawaoneshi njia mbadala ya kupita, sasa je wanaomiliki vyombo vya moto watumie barabara zipi...
MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati
"Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo wako huo unaokutuma kufanya kazi za Watanzania, sina mashaka na wewe unafanya kazi kubwa sana...
Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu Waziri Mkuu. Mkuu huyu wa mkoa ni mweupe kanisa, hajui itifaki, kwanza amepewa nafasi kumkaribisha...
Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
Jeshi la Polisi limesema limefanikiwa kumpata mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 05 mwanafunzi wa Shule ya awali Isaiah Samartan iliyopo jijini Mbeya aliyeripotiwa kupotea mei 15,2024 muda wa saa 11:45 jioni huku Jeshi hilo likiwashikilia watuhumiwa watatu kuhusiana na tukio hilo...
Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
Anonymous
Thread
casino
city casino
kilichotokea
kingono
mbeya
mke
mke wa mtu
mkurugenzi
mtu
sakata
wakili
“Ukikuta kijana ameingia ndani kwa kuvunja dirisha ujue kuna mambo mawili ameyadhamiria. Jambo la kwanza amedhamiria kuiba na jambo la pili amedhamiria kuua na jambo la tatu amekubali kuuawa. Naomba nisisitize, jambo la tatu amekubali kuuawa, naomba nirudie, jambo la tatu amekubali kuuawa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Nerbat Bwiga (33) mkazi wa Ifumbo na Isaya Zumba (38) mkazi wa Airport Songwe kwa tuhuma ya kupatikana na silaha bunduki moja aina ya Shotgun Pump Action bila kibali.
Akizungumza na waandishi wa habari Mei 15, 2024 Kamanda wa Polisi...
Wakuu habari....
Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024
kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294...
Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024
Vipandikizi - 38.3%
Sindano - 23.1%
Vidonge - 11.3%
Njia za Asili - 11.1%
Kondomu - 10.4%
Vitanzi - 4.6%
Kufunga Kizazi - 0.4%
Mikoa yenye Kiwango Kikubwa cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania
Mara -...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka chini ya udhamini wa Tulia Trust iliyo chini ya Mheshimiwa Speaker wa bunge la jamuhuri ya muungano wa...
Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.