Jeshi la Polisi limesema ajali iliyotokea Mbeya Septemba 6, 2024 ilisababishwa na uzembe wa Dereva, Hamduni Nassoro Salum (37) kushindwa kulimudu Gari lake kwenye eneo lenye mteremko na kona kali kutokana na Uchunguzi wa awali uliofanyika
Kulingana na ripoti ya polisi iliyotolewa Septemba 6...
Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana
Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa
Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza kulizia kuna nn kijana alimtisha ukisema kwa watu nakunyonga
Kijaana akaanza kufanya anayotaka...
Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
Mwabukusi apigwa na kitu kizito!
Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera!
Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe
Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa wake
MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE...
Mbeya. Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imefutilia mbali shauri namba 41 la mwaka 2023 la wakazi wa Isela kijiji Cha Ndolezi mkoani Songwe dhidi ya serikali na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutaka kupisha hifadhi ya Kimondo.
Hayo yamebainishwa Ijumaa, Agosti 23, 2024, jijini Mbeya chini ya...
Habari za wakati huu
Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo.
Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
Watu wa Mbeya wana hulka ya harakati ndio maana kule huwa siasa za upinzani hupata nguvu sana ni watu wasiojubali kuburuzwa ndio maana kwenye matukio mengi ya kupambana kijasiri ni ngumu sana kuwakosa.
Ila watu wa Kilimanjaro ukiwakuta mahali ujue pana harufu ya ulaji wanawaza na kufukuzia...
Ndugu zangu Watanzania,
Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala...
"TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA"
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Benjamin Kuzaga Agosti 28, 2024 akiwa ameambatana na Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Mbeya amezindua Kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" ambayo imezinduliwa...
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea...
Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ! Tutaonana baadae.
KYELA.
Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano pamoja na kuchapwa fimbo 4 baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa binti mwenye umri wa miaka 13...
Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam
https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU
ambapo alipelekwa chini ya escort ya polisi baada ya askari hao kumpiga vibaya kiongozi huyo mwandamizi wa CHADEMA...
ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE
https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U
POINTS TAKEN FROM THE CLIP:
1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja
2. Kuna Uchawa
3. Tubadilishe mind set
4. Wanaipa chadema...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji...
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita
Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana...
Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
Anonymous
Thread
jijini mbeyambeya
mtaa
serikali
serikali ya mtaa
shule ya msingi
uwanja
vijana
wananchi
Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA
Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.