mbeya

  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake. Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
  2. N'yadikwa

    Nauza maharage ya Mbeya kilo 350. 3000 kwa kilo 1

    Wateja karibuni bei ya shamba hiyo. DM for business. Location Dar na Katumba
  3. RIGHT MARKER

    Wafanyabiashara wa Mbeya aamkeni

    Mhadhara - 38: Baada ya kumaliza matembezi yangu kwa takribani wiki mbili kule jijini Mbeya. Leo nimefika Dar es salaam hivyo naomba niwashauri wafanyabiashara (wawekezaji) wakubwa wa kule Mbeya. Wafanyabiashara wa Mbeya aamkeni;- Mfanyabiashara wa Mbeya anafanya uwekezaji wa zaidi ya shilingi...
  4. KING MIDAS

    Mbeya si kwa mchezomchezo, wasanii mkienda kupiga show jiepusheni na siasa za uchawa

    Kikwete alipopolewa akiwa ziarani akitokea Chunya. Kuna safari alizuiwa barabarani Uyole. Magufuli alizomewa uwanja wa Sokoine hadi akashindwa kuhitubia. Kwa ufupi CCM haikubaliki Mbeya, na ukitaka usipigwe, jiepushe na uchawa, hapo utakuwa salama. Mbeya Samia haikubaliki wala Tulia Ackson
  5. uhurumoja

    Kwanini Prison haina mashabiki Mbeya!?

    Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga...
  6. S

    Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

    Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu! Sawa...
  7. ngara23

    Wasanii punguzeni uchawa na kiherehere, ya Zuchu huko Mbeya yatawakuta sana

    Jana Zuchi alirushiwa chupa na mawe jukwaani baada ya kusifia kizimkazi na kusema mitano tena Wasanii jifunze ulienda jukwaani Simba achana na siasa Kila mtu ana hisia tofauti kwenye siasa, ntakuja mpigwe na raia bure Wasanii tafuteni washauri PIA SOMA - Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa...
  8. Mwanongwa

    Serikali ione hii huko Wilayani Rungwe mkoani Mbeya

    Habari ndugu zangu Wana jamiiforums Leo katika pita pita zangu nimekutana na hili tukio Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya katika Kata ya Kyimo. Tunaiomba serikali kuliona hili.
  9. Kikwava

    Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua...
  10. Mshana Jr

    Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

    https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09 Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya...
  11. S

    Mkandarasi wa barabara ya Mbeya mjini inayokwenda kwenda Zambia amesusa kutokana na kutolipwa na serikali?

    Wakuu, weekend hii nimeingia Mbeya kwa ku-drive toka Dar, na nikashangaa sana kukuta maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne iliyopita. Nimeuliza wenyeji kwa nini kasi ya ujenzi wa barabara hii uko chini kiasi hiki...
  12. sinza pazuri

    Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

    Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia. Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha. Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani. Kwanza mji...
  13. nusuhela

    Mbeya tunauhitaji wa uwanja wa kisasa

    Sitaki kuongea mengi sana, ila kwa heshima ya mkoa wa Mbeya, hakika tuna uhitaji wa uwanja wa kisasa. Uwanja wa michezo wa kisasa Kuna faida nyingi kuliko hasara, ila uwanja wa kisasa ni muhimu kwa mkoa wetu huu wa Mbeya
  14. J

    Akina Mama kushukuru kwa kugalagala chini ni Mila ya Mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Mtwara na Lindi hivyo Kaskazini msiteseke!

    Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara Mlale Unono 😀🌹
  15. KING MIDAS

    Mbeya si Green City, ni Dark City; kwa sehemu kubwa mji haujapangika vizuri

    Niko Mbeya, nimekuja kutembea mara moja, baada ya kuzisikia sifa nyingi sana za mkoa na jiji hili la Mbeya. Daima huwa na utamaduni wa kufanya matembezi ya miguu ili niweze kuujua mji vizuri, haswa nikiwa mgeni katika mji huo. Mbeya ni jiji lililojaa vumbi, barabara za lami ni chache sana...
  16. Kiranja Mkuu

    Niko Mbeya nataka niwahi Dar leo, nahitaji usafiri, nitachangia mafuta

    Natanguliza shukrani zangu za dhati
  17. Roving Journalist

    Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

    Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni. Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti...
  18. N'yadikwa

    KERO Jiji la Mbeya lina noise pollution ya kiwango kikubwa sana mchana

    Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji. Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara. Ni kero kubwa sana.
  19. N

    Nasafirisha maharage ya Mbeya kuleta Morogoro na Dar. Kama unahitaji nicheki

    Habali ndugu zangu, Nafanya biashara ya maharage ya mbeya kuleta Moro na Dar. Kwa wateja wa madukani kwa bei ya makubaliano na aina ya maharage husika. Kama unaitaji maharage na upo maeneo hayo nicheki nikuletee mzigo mpaka dukani. 0629117470
  20. J

    CHADEMA Mbeya waomba Serikali ipeleke Huduma za Kijamii Kata ya Ilungu iliyokumbwa na mmomonyoko wa ardhi

    Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya Shitambala na Diwani wake wa Kata ya Ilungu iliyokumbwa na mmomonyoko wa ardhi wameiomba Serikali kuwapelekea Huduma za Kijamii. Shitambala amesema Serikali isisubiri hali iwe mbaya sana ndio ipeleke Huduma za Kijamii Source Upendo Tv
Back
Top Bottom