mbeya

  1. Mkalukungone mwamba

    Mbeya: Walimu Shule ya Sekondari ya Meta, wagoma kufundisha kudai mishaara

    Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani inayoendelea katika shule hiyo wakishinikiza kulipwa malimbikizo yao ya mishara ambayo hawajalipwa kwa zaidi ya...
  2. Hamduni

    LGE2024 Mongella: Wanachama wote wa CCM shirikin kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora

    Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara ndg. John Mongella amewataka wanachama wote wa CCM washiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora watakao kuwa watatuzi sahihi wa shida zao na sio kujinufanisha binafsi, sambamba na hilo alipata wasaa wa...
  3. The Watchman

    Mbeya: Apigwa na mume na mashemeji zake kisa wivu wa kimapenzi

    Mama mwenye watoto tisa, Bi.Honga Shija (45) mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Upendo Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa kupigwa na watu wanne, mume wake na mashemeji zake kisa wivu wa mapenzi. Akizungumza kwa njia ya simu Kaimu Kamanda wa Jeshi la...
  4. Mkalukungone mwamba

    Mbeya: Kijana wa miaka 34 ajinyonga kisa mgogoro wa familia

    Mgogoro wa kifamilia umefanya kijana huyu kutoka Mbeya kupoteza maisha kwa kufanya maamuzi ya kujinyonga hadi kufa. Kwakweli mambo mengi ila muda ni mchache. Apumzike ================== Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Fred Sanga (34), mkazi wa Mtaa wa Shewa, Kata ya Mwakibete, Mkoa wa...
  5. Mwanongwa

    KERO Takataka zimekuwa kero kubwa sana Mbeya Mjini kipindi hiki cha mvua

    Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama. Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka. Hawa JKT wamefeli kabisa, kwanza magari yao mengi ni mabovu sana tena sana. Ukipita Kwenye mitaa mingi ya Jiji hili...
  6. The Watchman

    Mbeya: Mfichue anayeiba maji ujipatie milioni moja

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSA), CPA Gilbert Kayange, amefanya ziara ya mtaa kwa mtaa katika Jiji la Mbeya kwa lengo la kukagua miundombinu ya maji, kusikiliza kero za wananchi, na kutatua changamoto mbalimbali za kihuduma kwa wateja wa...
  7. Uhakika Bro

    Nahitaji usafiri wa lori Mbeya kwenda Moshi - Nahamisha wiki hii

    Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022 Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi. Mbeya to Moshi Tuwasiliane.
  8. Am For Real

    Allys Star Bus nawapongeza kwa kuanzisha safari ya Mwanza - Mbeya

    Sina mengi ya kusema zaidi ya kutoa pongezi Kwa kampuni yenu.Mmeleta mapinduzi makubwa 1. Kwanza gari Luxury kabla tulikuwa na kampuni zenye magari Ordinary Class tu. 2. Uhakika wa safari kufika mapema sio swala la kujadiliana Tena.Maana maintainance ya magari yenu ipo levo za juu...
  9. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Tulia awataka Wananchi Mbeya kuiamini Serikali, awahimiza kuwachagua Viongozi wa CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi wa Mbeya kuendelea kuiamini Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  10. Waufukweni

    Dkt. Tulia Ackson akabidhi nyumba kwa Mkazi wa Mbeya kupitia Tulia Trust

    Wakuu Kama ilivyo kawaida kipindi cha uchaguzi, zawadi za kimkakati ndizo hutawala kwa Wabunge kuelekea uchaguzi. Leo, tarehe 11 Novemba 2024, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia...
  11. The Watchman

    Mbeya: Amchoma mtoto kwa petroli na kumsababishia majeraha kisa Elfu kumi

    Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38) dereva Bodaboda mkazi wa iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili wa shule ya msingi Iwambi mkazi wa Iwambi Jijini Mbeya kwa kumchoma moto Taarifa iliyotolewa jana...
  12. Mkalukungone mwamba

    Mbeya: Mtoto wa miaka 8 achomwa moto na jirani kisa kupoteza sh 200

    Hii taarifa imeniumiza sana jamani kwa ukatili huu ambao baadhi ya watu wanaendelea kuufanya kwa watoto. Yani kisa 200 unathibutu kumchoma moto mtoto. Au wanabifu na mama wa mtoto huyo? ================== Mtoto Abinala Hebron Mwambigija(8), Mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Iwambi...
  13. Roving Journalist

    LGE2024 Mbeya: Jeshi la Polisi lawataka Wananchi, Wagombea kutii Sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
  14. Jamii Opportunities

    14 Job Vacancies at Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) is seeking qualified candidates for various academic positions. Below are the available job postings: Post: Assistant Lecturer – Health Informatics – 1 Post Employer: Mbeya University of Science and Technology (MUST) More Details Application...
  15. Mwanongwa

    Serikali ya Mbeya ituambie kuhusu uwepo wa Kipindupindu maeneo ya Itumbi - Chunya inadaiwa Watu wanapoteza maisha

    Ndugu zangu kama una rafiki au ndugu maeneo ya Itumbi Wilayani Chunya hapa kwetu Mbeya jaribu kumjulia hali mara kwa mara sababu mji umevamiwa na Kipindupindu. Taarifa zilizopo japokuwa Mamlaka haijaweka wazi ni kuwa kuna zaidi ya Watu 10 wahofiwa kupoteza maisha kwa ugonjwa huo katika Mji wa...
  16. Mwanongwa

    KERO Mbeya: Baadhi ya Mitaa ya Jiji la Mbeya ni michafu, tunakaribisha Milipuko ya Magonjwa

    Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu. Viroba vya takataka vimerundikwa kila mahali katika mitaa ya Jiji hili. Wenye mamlaka ya kukusanya taka nao ni kama hawaoni namna ambavyo Jiji limetapakaa uchafu. Pichani ni...
  17. mshamba_hachekwi

    Chimbo zuri la nguo Mbeya....

    Habari zenu ndugu zangu.... Anayefahamu mahali pazuri pa kupata nguo nzuri za kiume Mbeya anijulishe kwenye comments. Simaanishi sehemu yenye bei rahisi, namaanisha sehemu unayohisi umewahi kupata nguo nzuri bila kuhangaika sana, yaweza kuwa ghali au bei che. Tafadhali wakazi wa Mbeya nisaidieni.
  18. milele amina

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya: Taarifa ya Vifo cha Wananchi kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Kijiji Cha Itumbi, Wilaya ya Chunya

    Utangulizi Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya Chunya, kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambao umesababisha vifo vya...
  19. K

    Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya

    Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya Habari wakuu... Nimepangiwa Internship apo Hospital ya mkoa wa Mbeya, naomba kujua fursa ambayo zipo mkoa wa Mbeya naweza kuzifanya huku niki endelea na internship ya mwaka mmoja,kiasi changu cha pesa ni milioni mbili ivi.
  20. The Watchman

    LGE2024 Mbeya: Wasimamizi katika vituo vya kuchukua na kurudisha fomu uchaguzi serikali za mitaa ni kikwazo kwa wagombea wa upinzani

    Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote. Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa...
Back
Top Bottom