mbeya

  1. U

    Kwa mchango mkubwa kiuchumi wa mikoa ya Mwanza na Mbeya ni hasara kubwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato kujengwa Dodoma

    Wadau hamjamboni nyote? Sina chuki wala husuda yeyote ila Dodoma kujengwa uwanja wa ndege wa kimataifa ni hasara kiuchumi Mkoa hauna mchango mkubwa kiuchumi kwa nchi yetu japo unapigiwa debe kila kukicha kwa nguvu kubwa Serikali itafakari upya na tuwekeze kwenye mikoa yenye mchango mkubwa...
  2. Waufukweni

    John Nchimbi: Mbeya bila Shule za Vumbi na Ukosefu wa Madawati katika miaka mitatu ijayo

    John Nchimbi Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mbeya amesema katika jiji hilo, hakuta kuwa na mwanafunzi atakayekaa chini kwa kukosa madawati baada ya miaka mitatu. "Tunataka Mbeya iwe ya mfano kwenye Miradi ya Elimu, kwa Mapato ya ndani tuliyonayo tunakuhakikishia kuwa hakuna mtoto ambaye...
  3. G

    Nahisi niliuziwa machungwa yaliyoivishwa kwa kekimikali zilizoanza kutumika Mbeya kuivisha matunda, Mungu atusaidie lakini Idara zetu zimelala mno

    N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia juisi ya machungwa, Napenda sana kunywa juisi hii. Wiki iliyopita nilizinguka soko la soweto nilikuta...
  4. Mwanongwa

    Ujenzi wa njia nne Mbeya washika kasi

    Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani katikati ya Jiji ambao umekuwa tatizo kubwa. Wakati huo huo tunaiomba serikali kuikamilisha mapema...
  5. Mwanongwa

    DOKEZO Mbeya: Kemikali za kuivisha Ndizi zimehamia katika matunda mengine, Wataalam wa Afya watueleze kama ni salama

    Habari Wana Jamiiforums wenzangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pilika zangu nikakutana na Stori za kwamba kuna Wafanyabiashara wa Ndizi pamoja na Maparachichi ndani ya Mkoa wa Mbeya wamekuwa siyo waaminifu katika biashara hiyo. Kawaida ndizi zinapokomaa huwa zinavunwa na kuvundikwa kwenye sehemu...
  6. figganigga

    CRDB imewavalisha nguo na Kofia za CCM Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya kwenye wiki ya huduma kwa wateja

    Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya, wameiomba Serikali kuweka program ya elimu ya fedha kuwa endelevu ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kupata uelewa na kutatua changamoto mbalimbali za masuala ya kifedha. Wametoa wito huo walipotembelea Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha...
  7. M

    Picha: Mlima Mbeya unavyoendelea kuteketea kwa moto muda huu

    Ni kawaida Miaka ya zamani miezi kama hii ya maandalizi ya kilimo safu za mlima Mbeya/Loreza kuteketea Kwa moto. Ni Albeit Chalamila aliyeweza kukomesha tabia hiyo mbaya ya kuanzisha moto kwa kuwalazimisha wenyeji wa maeneo hayo wakishirikiana na JKT kuzima moto usiku kucha. Naona Hali...
  8. C

    KERO Uwanja wa Sokoine Mbeya hauna msimamizi, mbona mchafu sana?

    Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya. Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa...
  9. Cute Wife

    Pre GE2025 Spika Tulia akionesha umahiri wake kwenye kuchanganya saruji na kupangilia tofati, watafika 2025 wakiwa wamechoka sana!

    Wakuu, Hapa ni Spika Tulia kwenye one and two akituonesha alivyobobea kwenye kuchanya saruji na kupangilia tofali kama picha zinavyoonesha. Nakumbuka na msanii Kigwa alipoenda kula kwa mama ntilie na yule aliyejifanya mkulima wa nyanya, na ukulima ukaisha aliporudishwa kwenye sistimu :KEKLaugh...
  10. Mwanongwa

    DOKEZO Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

    Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga. Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
  11. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mbeya: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni 2,343,754; wanaume 1,123,823 na wanawake 1,219,926 Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo...
  12. Stephano Mgendanyi

    Suma Fyandomo (Mb) Atua Mbeya Vijijini Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    SUMA FYANDOMO ATUA MBEYA VIJIJINI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA "Tujiandikishe ili tuweze kumchagua kiongozi ambaye kila mtu anaona anafaa, kila mtu anayo hiari ya kuchagua Kiongozi ambaye anaona anamfaa. Kujiandikisha na kupiga kura ni haki ya msingi ya kila mtu na ndiyo uzalendo wenyewe"...
  13. Mwanongwa

    LGE2024 Wananchi Mbeya Jiji ni kama wamekata tamaa ya uchaguzi

    Licha ya viongozi wa vyama na serikali kuhamasisha Wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura, hali ni tofauti na matarajio yao. Wananchi wamekuwa na mwitikio mdogo sana katika zoezi hilo na hii ni kutokana na Wananchi kuona hakuna umuhimu wa kupiga kura. Nimepata bahati ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Siku ya kwanza napanda lori nilikuwa natoka Mwanjelwa Mbeya naelekea Dar es Salaam. Niliomba njia nzima, nikashuka Morogoro, chakufia nini?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Dadeki! Haya Maisha bhana kûna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka tuu. Bhana! Bhana! Kûna Dili nilikuwa nafukuzia Mbeya. Sasa Dili lenyewe likabuma, Pesa ya Guest Ikawa imeisha, Pesa ya nauli haitoshi kwani nilikuwa nimebakiwa na elfu ishirini na Saba na nauli...
  15. Huihui2

    Pre GE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

    Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa. HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE. Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
  16. mr pipa

    DOKEZO Serikali wamulikeni wamiliki wa migodi ya dhahabu mkoani Mbeya. Hawawalipi mishahara wafanyakazi wao

    Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika. Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli. Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.
  17. Erythrocyte

    Pre GE2025 Sugu aendelea kusafisha Mabaki ya CCM Mbeya Mjini, Leo ni zamu ya Kata ya Isyesye

    Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha...
  18. Poppy Hatonn

    Mabasi mawili yagongana Mbeya uso kwa uso leo October 7

    Afande Awadhi Hajji ( Mkuu wa Operesheni na Mafunzo)alikuwa anasema jana amefika Mbeya kutazama kama matayarisho ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yanaendeles vizuri na pia kutazama suala la usalama barabarani lakini ajali imetokea kule leo. Mabasi mawili, moja likiwa mali ya Kampuni ya Kapricon...
  19. R

    Naomba msaada wenu juu ya safari ya train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaam

    Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa. Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani? Msaada please.
  20. M2flan

    Car4Sale Mitsubish Outlander For Sale, ipo Mbeya

    Mitsubish Outlander INAUZWA, Location Mbeya mjini Year: 2011, CcC 1990 Color: Dark Blue,7 seats,Good condition Full Documents .Bei Tsh 16.8M (maongezi yapo) Mawasiliano📞0747518207
Back
Top Bottom