Mwanzilishi wa CHADEMA ni Edwin Mtei na nyumbani kwake ni Tengeru, Arusha. Mwenyekiti wa muda wote wa CHADEMA ni Freeman Mbowe na kwao ni Hai, Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa CHADEMA ni John Mnyika kutoka Singida lakini mama yake ni wa Moshi Vijijini. Makamu Mwenyekiti Lissu kwao ni Singida...
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya.
========================
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya...
"Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA.
Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana duniani hapo kesho...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma katika ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa.
Pia soma:
Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku...
Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya mapolisi yalimshinda Magufuli, & wewe yatakushinda. Fungua barabara vijana waende Mbeya!
Kwa vijana...
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
Pia soma:
Kuelekea 2025 - Msajili...
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya
Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa...
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :-
1. Mbunge aliyekaa kwenye jimbo zaidi...
BIG 20
Hii ni project/movement iliyoanzishwa na media personalities pamoja na wadau wa Muziki jijini Mbeya lengo kuu ikiwa ni kuhakikisha kuwa Muziki na wanamuziki wa mkoa wa Mbeya wanapata jukwaa huru na la uhakika katika kufanya kazi zao.
Wakiongea na jukwaa hili waratibu wa movement hii...
INTRODUCTION:-
Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA
Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii"
Twende kwenya mada ....
BODY:-
Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07.
Na hii ndio ratiba ya gambe ....
1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe...
Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Mbeya kwa hatua ya kuanza kuboresha miundombinu mbalimbali katika Jiji la Mbeya...
Kichwa cha habari cha husika hapo juu.
1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah.
2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia.
3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
Hello my lovely customers.
Asanteni kwa kunisapoti sana ,kipindi naanza hadi sasa nilipofika
Sasa Cake zetu tutazipata Mbeya mjini na viunga vyake vyote.
Karibu kwa ajili ya Oda,cake za matukio yote ikiwemo Birthday,mahafali Kipaimara, Ubatizo, Harusi, Kitchen party, Send off, nk nk
Kuanzia...
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kuwapeleka walimu 10 wa shule za msingi na sekondari Dubai kwa watakaofanikisha ufaulu mwakani, imeonekana kuwaamsha walimu kila mmoja akiahidi kufundisha kwa bidii ili kupata nafasi hiyo.
Akizungumza leo Julai 16 katika kikao cha tathimini ya elimu...
Licha ya jitihada mbalimbali za Serikali kuhamasisha matumizi ya vyoo bora lakini maeneo yenye mikusanyiko ya watu, hali imekuwa siyo shwari kwa Stendi Kuu jijini Mbeya.
Miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na stendi za mabasi na sehemu za biashara za vileo hali inayowalazimu kuwa na ndoo...
MWENYEKITI CHADEMA MBEYA DC AWAKUMBUSHA WANAKYELA JINI MAGUFULI ALIVYODHIHIRISHA KUWA CCM IMEKUFA
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mbeya vijijini Getruda Japhet Lengesela
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kyela, Mbeya.
John Pombe Magufuli alidhihirisha CCM ilikufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.