Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya kimetoa rambirambi yake kwa familia 28 zilizoondokewa na ndugu kufuatia ajali ya magari iliyotokea siku ya Jumamosi usiku.
Soma: Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa
Akiongea na wafiwa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Mwenyekiti wa Vijana mkoa wa Mbeya Yasin Ngonyani ametoa salamu za Chama Cha Mapinduzi pamoja na kukabidhi vyakula kwa familia hizo.
Ndugu Yasini amewaomba wanafamilia kuwa watulivu katika kipindi hiki wanachopitia kufuatia kuondokewa na Ndugu zao wapendwa.