PreGE2025 Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia fedha ya fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu
Cc Stuxnet
=====

Wakati vuguvugu la kisiasa likiendelea kupamba moto nchini, wananchi wa Bonde la Uyole wamemuomba Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea jimbo jipya la Uyole katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Pia soma Waziri Bashe amuomba Spika Tulia akagombee ubunge jimbo la Uyole na si Mbeya Mjini

Hatua hiyo imekuja baada ya Mei 12, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutangaza kugawanya majimbo mapya manane, likiwepo jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya.

Pamoja na kuombwa kugombea na makundi mbalimbali, tayari wananchi hao wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia fomu ya kuwania nafasi hiyo.

Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Mei 22, 2025, baadhi ya wananchi wametaja sababu za kumtaka Dk Tulia kugombea ni kutaka kuharakishwa kwa maendeleo, huku wakitaja mambo kadhaa ambayo yametekelezwa chini ya ubunge wake.

Miongoni mwayo ni uekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020, iliyoelekeza kujengwa kwa mradi wa kimkakati wa barabara ya njia nne yenye urefu wa kilometa 29 kutoka Nsalaga mpaka Songwe.

Mwingine ni ujenzi wa mradi wa kimkakati wa maji kutoka chanzo cha Mto Kiwira utakaokuwa mwarobaini wa adha ya maji kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya na Songwe.

Akizungumzia uamuzi huo, Amina Hussein mfanyabiashara katika Kituo cha Mabasi cha Usangu Kata ya Uyole, amesema kwa kipindi kirefu maendeleo yamechelewa na kitendo cha kugawa majimbo kumekuwa mkombozi kwao.

Awali, Diwani Kata ya Uyole, Daniel Njango aliliambia Mwananchi Digital kwamba kesho watafanya mapokezi ya mbunge huyo katika viwanja vya Shule ya Msingi Hasanga.

Chanzo Mwananchi
 
Source: Mwananchi digital
 
Kumbe Uyole kuna bonde!
 
mdude.jpg
 
Back
Top Bottom