Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa

1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50

2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye mashaka huku wakikwepa mahospitali, kutabiri vitu visivyotimia, kujipa vyeo vya kiroho, n.k.

3. ukiingia mitandaoni mara kadhaa utawaona wale kina "hiyo hela tuma kwenye namba hii" wamekamatwa Mbeya
 
1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50

2. Wachungaji wengi waliotabiriwa kuwa fake pastors hutokeo Mbeya.
Watu wa mbeya Kwa kweli ni hatari mimi nikiona kanisa linaongozwa na mtu wa huko napita mbali sana hata kama ni mchungaji wa makanisa ya kawaida nawaogopa kama ukoma
 
1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50

2. Wachungaji wengi waliotabiriwa kuwa fake pastors.
Tatizo linaanzia hapo kwenye namba 2. Ukiona eneo, mji,jiji au nchi inaongoza kwa kuwa na makanisa haya yanayojiibukia kama uyoga, makanisa ya watu binafsi,manabii,mitume n.k. shtuka, kimbia.
 
Mawinga ni kero kwenye manunuzi,itakulazimu kupata taarifa kamili ya bei ya bidhaa kabla hujainunua,bidhaa ya 20k unaanziwa 100k,nipunguzie zikiwa nyingi unaambiwa haya lete hiyo 60k,unaondoka na bidhaa kufika mtaani Wana wanakusanua kua umepigwa na hiyo bidhaa ni copy au bei halisi ni 20k,shikamoo Daslam,shikamoo mawinga wote wa Daslam🙌🙌🙌
 
1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50

2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye mashaka huku wakikwepa mahospitali, kutabiri vitu visivyotimia, kujipa vyeo vya kiroho, n.k.
Utapeli upo Kila mahali,pole mkuu yamekukuta!
 
Back
Top Bottom