Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

kuna kabira linaitwa CCM. hawa kwa uzezeta na kushabikia mambo unaweza kusema MASHETANI
 
Hata wale wa hiyo hela tuma kwenye namba hii wanatokea Mbeya sijui kuna nini
 
Chuo kipo Tukuyu Makandanda kule
 
Back
Top Bottom