mbeya

  1. Karibuni Mbeya

  2. Mbeya: Afisa Mtendaji kizimbani kwa kuomba na kupokea rushwa ya TZS 200,000

    Afisa Mtendaji Kata ya Lusungo, Bw. Edestus Clemence Ndunguru, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya TZS 200,000/= ili amsaidie mwananchi kuongea na askari polisi waweze kumpa dhamana katika Kituo cha Polisi Ipinda. Akisoma shtaka...
  3. Jiji la Mbeya: Mfupa Mgumu kwa Makonda na CCM

    Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi. Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa. Ukiachana na kuwa watu wengi wana angalia vi clip ambapo vinaonesha jinsi anavyo tatua migogoro kwa...
  4. Uchaguzi wa CHADEMA Mbeya Mjini ni moto, John Mwambigija Maji ya Shingo, akabiliwa na Ushindani mkali

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini . Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa ...
  5. Wana Mbeya, Mbele ya Makonda ,wamtaka Waziri Bashe aache kuwagombanisha na Mama !!

  6. Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama huko mikoa ya pembezoni nguvu ya kuweza kuinua mtaji wa Kwa Kasi na kukua sio jambo jepesi ni...
  7. Barabara ya Mbeya - Mkiwa Kuendelea Kujengwa kwa Awamu

    BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU. Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi - Rungwa - Mkiwa (km 503.36) kwa awamu ambapo sehemu ya Mbeya - Chunya - Makongolosi (km 111) ujenzi...
  8. U

    Mbeya tunaumia Sana Umeme kutokuwepo. Viongozi hamueleweki

    MBEYA Umeme haupo Kila Siku unakatika Serikali Acheni mizaha. Hii Ni aibu Sana Kwa Serikali,, mnapiga porojo tuu.
  9. Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

    Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo...
  10. Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha. Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
  11. Mbeya: Kikundi cha Ulinzi Shirikishi Kata ya Ifumbo chafanya kazi Kidigitali

    Wananchi wa Kata ya Ifumbo iliyopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kupitia Mkaguzi Kata hiyo pamoja na kikundi cha ulinzi shirikishi kilichopo ili kuzuia uhalifu. Akizungumza Januari 29, 2024 katika hafla ya kupokea na kukabidhi vitendea kazi vya...
  12. Mbeya: Raia wa Rwanda ashikiliwa kwa kusafirisha Dawa za Kulevya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili akiwemo raia wa nchini Rwanda, Assouman Gahigiro [48] na Winny Bruno [31] mkazi wa Kiwira Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 20. Watuhumiwa walikamatwa Januari 27, 2024 katika kizuizi...
  13. Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako. Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000...
  14. Mwalimu Shule ya Msingi akamatwa kwa ujambazi Mbeya

    Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema...
  15. Matokeo ya Kidato cha Nne yamenikumbusha wakali hawa wa mwaka 2005 kutokea kule Mbeya

    Basi enzi zile kuna mitihani ya darasa la saba ikijumuisha shule za Maanga, Sinde, Mwenge, Nzovwe, Ilemi, Muungano na Ruanda nzovwe kulikuwa na wakali wao mwaka 2001. Stephen Swetala, Ibrahim David, Daudi Mwala, Goodluck Mlwilo, Diligent Mmbaga, Wilson Ngole, Mbawala (wa muungano) na yule jamaa...
  16. M

    Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

    Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia. Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu. Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii. Wito...
  17. Msaada location chuo cha Uandishi wa habari Mbeya

    .
  18. Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
  19. Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  20. Kesi ya Watumishi waliochepusha Mapato ya Halmashauri ya Mbeya imefikia wapi?

    Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto! Sasa baada ya Kimya kizito kutanda, sisi wananchi tumerudi tena kuulizia ilipofikia kesi hiyo kabambe. Naomba kuwasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…