Naipongeza juhudi inayofanywa na serikali kupanua barabara kuu Mkoani Mbeya. Lakini najiuliza ni kwa nini wajenzi wameanza na maeneo yasiyo na matukio ya kupoteza maisha ya wananchi?
Binafsi labda kama kuna sababu za kiufundi nadhani ujenzi ungeanza na maeneo hatarishi ambayo kila mwaka...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua Zahanati ya Ilenge iliyopo katika Kata ya Kyimo ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha Wananchi wanapata huduma ya afya karibu na Makazi yao, Januari 5, 2024.
Akizindua Zahanati hii, Haniu amewashukuru Wananchi kwa ushirikiano waliouonesha katika...
Mkuu wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mbeya, Mrakibu wa Polisi SP Hussein Gawile amewataka wamiliki wa Shule za Awali, Msingi na Sekondari kuhakikisha magari yao (School Buses) yanakaguliwa na wakaguzi wa magari wa Jeshi la Polisi kabla ya kuanza kufanya kazi ya kubeba wanafunzi.
Rai...
Kama kuna Mbunge ameandaa matamasha na kurekodi matukio anayofanya ni Tulia Ackson. Ameandaa wasanii wakubwa , ameandaa mpira , ameandaa vikundi vyakusaidia nakadhalika . Ila hadi sasa bado wananchi wa Mbeya awataki kumwelewa mama wa watu.
Amezunguka Mbeya mjini hali ngumu ameenda Rungwe nako...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamsaka Dereva aliyekuwa akiendesha Gari lenye namba za usajili T.428 DXD/T.860 BWM aina ya FAW mali ya Kampuni ya Cedars Investment Limited ya Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa majina ya Msafiri Mohamed @ Mwawila ambaye amekimbia muda mfupi baada ya...
Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Mbeya Mhashamu Gervas Nyaisonga ambaye pia ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi, Benjamin Kuzaga katika kilele cha Kongamano la Utoto Mtakatifu Jimbo la Mbeya lililofanyika Kanisa la Hija...
Pale Inyala unapoteza dakika 30 wanasema mnasubiria malori yanapita muda wake tofauti na magari mengine.
Pale mteremko wa Mbalizi ni hivyohivyo halafu tena ukiingia mkoa wa Songwe kuna sehemu utaratibu ni huo.
Chakushangaza barabara ni nzima kabisa ila wameweka huo utaratibu kwasababu kuna...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha usalama barabarani limeyazuia mabasi matano ya abiria katika Stendi kuu Jijini Mbeya kuendelea na safari baada ya kukutwa na changamoto katika mifumo mbalimbali.
Akizungumza mapema Desemba 26, 2023 Mwanasheria Mkuu wa Kikosi cha usalama...
Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.
Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya.
Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa!
Umeme umekuwa anasa!
15 December 2023
Mbeya, Tanzania
WIMBO MNATUONA MANYANI
Hii ni baada ya jamhuri kuamua kutoendelea na kesi hii iliyovuta umma mpana kuijadili huku ikiituhumu serikali kubana uhuru wa kujieleza.
Wasanii waimbaji Sifa Boniventura Bujune, Salome Mwampeta na Hezekiel Miliyashi walifunguliwa...
Nahitaji mke nimuoe asizidi miaka 27 na akubali kucheck afya.
Mimi sasa
Umri wangu: 27
Kazi : Nimejiajiri
Elimu: degree
Mkoa: Mbeya
Nyumba: Ninayo sijapanga ila ni pagale haijakamilika.
Urefu: futi 5.5
Uzito: 60kg
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital)
Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba...
1. Fukwe za Ziwa Nyasa
2. Ziwa Ngosi
3. Kawetere view point
4. Ziwa Kisiba
5. Maporomoko ya maji Kaporogwe
6. Mpanga Kipengere game reserve
7. Hifadhi ya taifa Ruaha
Unaweza kuongeza na mengineyo
Kwa huduma za safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania Cheki nami...
Kuelekea mwisho wa mwaka 2023, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia kikosi cha usalama barabarani limewataka madereva wa malori kuwa na udereva wa kujihami ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika.
Akizungumza Desemba 11, 2023 katika eneo la maegesho ya malori Jijini Mbeya, Mkuu wa Kikosi cha...
Mheshimiwa Rais samahani sana, na pole na majukumu yako mama.
Sisi WaTanzania ambao kwa bahati mbaya tumewai kufanikiwa kutoka nje ya nchi hii kiukweli roho imekua ikituuma kuona vi nchi vidogo ambavyo vingine havitufikii kwa rasilimali na utajiri tulio nao, et navyo vina barabara bora na kubwa...
Wakaguzi wa Kata nane wa Mkoa wa Mbeya wamekabidhiwa Pikipiki aina ya Boxer kwa ajili ya kurahisisha na kufanikisha utekelezaji wa majukumu yao katika Kata zao.
Akizungumza wakati wa kukabidhi Pikipiki hizo katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Disemba 03, 2023 katika Uwanja wa FFU Mbeya...