Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru.
Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.
Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.
Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?
Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
Johanne Poirier
Full Professor
Peter MacKell Chair in Federalism
New Chancellor Day Hall
3644 Peel Street
Room 604
Montreal, Quebec
Canada H3A 1W9
514-398-3296 [Office]
Email
Website: Peter MacKell Chair in Federalism
List of Publications
Recent media appearances
The Sunday Magazine (hosted...
Sisi Wafanyabiashara wa mbao tuliopo Mbalizi, Mbeya Vijijini tuna malalamika kuhusu Watoza Ushuru wanaosimama kwenye mageti.
Wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kutaka kutupiga faini na kututaka tukate ushuru wa TP (Transportation Permit) mara mbilimbili.
Utaratibu uliopo tunaopewa na Wakala...
Ndugu zangu Watanzania,
Ujio wa Dkt Tulia Jimbo la Mbeya umekuja na neema na umekuwa wa Baraka.Sasa jiji Linasikilizwa masikioni mwa viongozi wakuu wa serikali,sasa linapewa majibu ya kueleweka kutoka serikalini,sasa linapewa hadhi na heshima yake ya kuwa jiji,sasa lina kumbukwa ,sasa lipo...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe aruhusu kuongezwa kwa Wiki moja zaidi ya Maonesho ya Nanenane Mbeya ili Watu waendelee na shughuli zao katika viwanja vya maonesho kama Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Dkt. Tulia Ackson alivyoomba...
Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
Leo mchana huu, kuna foleni ya kutisha hapa Mbeya.
Magari yanayotoka Iringa na maeneo ya Nanenane foleni ni bumber to bumber.
Kuna sehemu unasimama muda mrefu sana.
Habari Wazee wenzangu,
Naulizia bus za kutoka Mbeya hadi Masasi au Mtwara Mkoani.
Kama zipo ni kampuni gani na nauli ni shilingi ngapi hadi Masasi Town.
Asante.
Salam wakuu,
Wengi wanajua kuwa leo Mahakamani hapo Mbeya kulipaswa kusomwa hukumu ya kesi inayovuta masikio na hisia za watu wengi, ambayo imetunguliwa na mawakili wa nne wakujitegemea dhidi ya Jamhuri (AG) na Bunge pia kupitia Katibu wa Bunge.
Historia ya kuibuka kwa shauri hili...
Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World.
Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
MHE. CONDESTER SICHALWE - "KARIBUNI MTEMBELEE BANDA LETU LA MOMBA NANENANE MBEYA 2023"
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ametembelea Banda la Momba Nanenane Mbeya na kuitumia fursa hiyo kuwaalika watu wote kuona fursa mbalimbali za Kilimo na Mifugo...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuendelea kubuni huduma zinazolenga kutatua changamoto zinazowagusa wakulima, huku akionesha kuguswa zaidi na hatua ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuwekeza nguvu zaidi kwenye utoaji wa mikopo ya zana za kilimo kwa wakulima...
Majuzi katika ziara ya Makamu wa Rais Phillipo Mpango huko Mbeya, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya aliorodhesha miradi mingi ambayo serikali iliahidi lakini haijatekelezwa kwa miaka mingi.
Kuna miradi iliahidiwa na Rais Mwinyi na Jakaya Kikwete wakati wa kampeni za urais, lakini utekelezaji ni...
Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na...
INTRODUCTION
Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023.
Ila haina mbaya, Kazi iendelee.
BODY
Karibu kwenye Banda letu nikupe pindi/Shule kuhusu mambo ya biashara, Uwekezaji, kilimo, na viwanda...
Katika hali isiyo ya kawaida Mzee Isaac Mwasilu amesema Bora arudi nyumbani na kwenda kufa kama itashindikana kusaidiwa kupatikana kwa mtoto wake aliyepotea tangu tarehe 11/11 mwaka 2021, kwa madai kwamba alichukuliwa kama Mateka na askari wa jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya aliyedai atampoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.