Ndugu Watanzania!
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amemshtaki wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi katika Kamati ya Mawakili kwa tuhuma za kuwasema Waziri Mkuu, Spika, Waziri Mbarawa na Katibu wake Mkuu, Bunge na Wabunge kuhusiana na suala la Bandari ambapo Mwabukusi alisema pia baadhi ya viongozi...
Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi.
===
Tulia Ackson
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
NANE NANE MBEYA 2023
KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA
Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
Rais Samia Suluhu Hassana anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maonesho ya kilimo maarufu kama Nanenane Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema viongozi wengine kitaifa watakaotembelea maonesho hayo yanayoanza...
Asalam,
Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM.
1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini...
Nahitaji kufikisha kamzigo kadogo tu ka mafuta ya nyonyo na unga wa maziwa ya mbegu za maboga. Kadoogo.
Gari zinaenda Mwanza, hakuna ya Kahama kituo kikuu tokea hapa(Mbeya). Kama ipo nijuze.
Kama kuna anayesafiri karibuni kabla ya nanenane tuwasiliane basi nimkabidhi. Ni kadogo tu utaita...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. NAZARETH NDELE [50] 2. STEVEN MWAIGAGA [29] na 3. FARAJA MWAIGAGA [26] wote wakazi wa Kijiji cha Igunda Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumtorosha mwanafunzi na kutaka aolewe na kijana wao kinyume cha sheria.
Kamanda wa...
Mpaka muda huu kwa Kesi iliyoko Mkoani Mbeya na inavyoendelea nawaona Team Yes DP World wanaenda Kufungwa ( Kushindwa ) vibaya mno na Kuumbuka.
Ushauri pekee ambao GENTAMYCINE nautoa kwa Team Yes DP World huku nikiwana Team No DP World wanavyoupiga mwingi hawa ( Team Yes DP World ) wawaige Azam...
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.
Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
Kesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo.
Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo...
Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima, ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa kuanza kusikilizwa kesho 20/07/2023 , Maandalizi yake yamekamilika .
Wananchi wa Tanganyika na...
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7.
Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco.
Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali.
=============
UPDATES...
Mkurugenzi Huduma kwa Wateja...
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana...
Airtel mna call drops kubwa sana , ndio maana hata ukipiga simu Mbeya kwa watumiaji wa Airtel hatusikiani .
Hii Report ipo kwenye site za TCRA na iko wazi msiseme tunawasagia kunguni.
Mmezidiwa hadi na TTCL kweli...
Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI😂🤣
Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai
“Hali hii ya upepo na baridi inatarajiwa kwenda hadi mwezi Agosti, Septemba ndo hali ya joto itaanza kushuhudiwa, hivyo watu wajipange hasa katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe ambapo huko baridi zaidi hushuhudiwa.” – Rose Senyagwa, Mchambuzi wa hali ya hewa TMA.
@tanzaniameteorological...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuzuia na kudhibiti ajali za barabarani kwa kushirikiana na mamlaka na wadau mbalimbali wa usafirishaji katika Mkoa wa Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amesema Jeshi hilo linaendelea kuimarisha na kufanya misako na doria katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.