mbeya

  1. Jopo litakalo mhukumu Wakili Mwakabusi [Simba wa Mbeya]

    Ndugu Watanzania! Mwanasheria Mkuu wa Serikali amemshtaki wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi katika Kamati ya Mawakili kwa tuhuma za kuwasema Waziri Mkuu, Spika, Waziri Mbarawa na Katibu wake Mkuu, Bunge na Wabunge kuhusiana na suala la Bandari ambapo Mwabukusi alisema pia baadhi ya viongozi...
  2. Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  3. J

    Victoria Mwanziva: Karibuni banda la Wilaya ya Ludewa kwenye maonesho ya nane nane Mbeya katika viwanja vya Mwakangale

    NANE NANE MBEYA 2023 KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
  4. Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya.
  5. Rais Samia Mgeni Rasmi Nanenane Mbeya, Wadau Kutoka Nje ya Nchi Kushiriki Kwa Mara ya Kwanza

    Rais Samia Suluhu Hassana anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maonesho ya kilimo maarufu kama Nanenane Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema viongozi wengine kitaifa watakaotembelea maonesho hayo yanayoanza...
  6. Huyu Mzee mwana CCM Kutoka Mbeya ni nani?

    Nimeikuta Mahali. Anaonekana alikuwa MTU Mkubwa Serikalini.
  7. B

    TISS na CCM Party Comrades tumieni kesi ya Mbeya kuokoa Umoja wetu, na Muungano wetu, kuilinda CCM. FUTA IGA

    Asalam, Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM. 1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini...
  8. Msaada: Kusafirisha kifurushi toka Mbeya hadi Kahama

    Nahitaji kufikisha kamzigo kadogo tu ka mafuta ya nyonyo na unga wa maziwa ya mbegu za maboga. Kadoogo. Gari zinaenda Mwanza, hakuna ya Kahama kituo kikuu tokea hapa(Mbeya). Kama ipo nijuze. Kama kuna anayesafiri karibuni kabla ya nanenane tuwasiliane basi nimkabidhi. Ni kadogo tu utaita...
  9. Mbeya: Polisi wamsaka Chande Mwaigaga aliyetoa posa ya Tsh. 110,000 na mbuzi ili amuoe Mwanafunzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. NAZARETH NDELE [50] 2. STEVEN MWAIGAGA [29] na 3. FARAJA MWAIGAGA [26] wote wakazi wa Kijiji cha Igunda Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumtorosha mwanafunzi na kutaka aolewe na kijana wao kinyume cha sheria. Kamanda wa...
  10. Nikiwa kama Referee wa Team Yes DP World vs Team No DP World na Kesi iliyoko Mbeya nashauri Team Yes wawaige Azam FC walichofanya Tunisia jana

    Mpaka muda huu kwa Kesi iliyoko Mkoani Mbeya na inavyoendelea nawaona Team Yes DP World wanaenda Kufungwa ( Kushindwa ) vibaya mno na Kuumbuka. Ushauri pekee ambao GENTAMYCINE nautoa kwa Team Yes DP World huku nikiwana Team No DP World wanavyoupiga mwingi hawa ( Team Yes DP World ) wawaige Azam...
  11. F

    Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla. Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
  12. S

    Ni uchawa na uzwazwa wa media za hapa nchini kushindwa kurusha "live" kesi ya bandari kule Mbeya

    Kesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo. Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo...
  13. Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

    Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima, ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa kuanza kusikilizwa kesho 20/07/2023 , Maandalizi yake yamekamilika . Wananchi wa Tanganyika na...
  14. DOKEZO TANESCO, Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya umeme hakuna leo ni siku ya saba. Kulikoni?

    Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7. Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco. Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali. ============= UPDATES... Mkurugenzi Huduma kwa Wateja...
  15. Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mbeya

    Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana. Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa. Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana...
  16. J

    AIRTEL Mnatukosea sana Mbeya, poor Quality of service by TCRA Q3 Report

    Airtel mna call drops kubwa sana , ndio maana hata ukipiga simu Mbeya kwa watumiaji wa Airtel hatusikiani . Hii Report ipo kwenye site za TCRA na iko wazi msiseme tunawasagia kunguni. Mmezidiwa hadi na TTCL kweli...
  17. B

    Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika Tulia wawaomba Machifu wawaloge wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI😂🤣 Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai
  18. M

    Mkutano Mbeya, kauliza mbona hamnipigii makofi!

    Naangalia mkutano wa CCM Mbeya. Msemaji mmoja kauliza CCM mpooo akajibiwa tupo kisha akasema "mbona hamnipigii makofi?" Kazi kwelikweli.
  19. M

    Hadhari ya Baridi kali Mbeya, Njombe na Iringa

    “Hali hii ya upepo na baridi inatarajiwa kwenda hadi mwezi Agosti, Septemba ndo hali ya joto itaanza kushuhudiwa, hivyo watu wajipange hasa katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe ambapo huko baridi zaidi hushuhudiwa.” – Rose Senyagwa, Mchambuzi wa hali ya hewa TMA. @tanzaniameteorological...
  20. Mbeya: Madereva wa mabasi ya New Force, Zanuni, Rungwe Express, Super Rojas, Abood Bus Service na Kyela Express wafungiwa leseni kwa muda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuzuia na kudhibiti ajali za barabarani kwa kushirikiana na mamlaka na wadau mbalimbali wa usafirishaji katika Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amesema Jeshi hilo linaendelea kuimarisha na kufanya misako na doria katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…