Mlima Kawetere uliopo kata ya Itezi jijini Mbeya , uliomeguka April 14 ,2024 na kusababisha maafa ambapo nyumba zaidi ya ishirini ,shule , mifugo na mashamba yalifukiwa na tope, umebainika kuwa mlima huo bado ni hatari, kutokana na shughuli za kibinadamu zinazoendelea katika mlima huo, hali...