Habari JF,
Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba
Chumba kiwe ni kikubwa na Master.
Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja.
Wapangaji wasiwe wengi (8+).
Kuwe na uzio/fensi...
Kuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami...ukienda Yombo kuna lami mitaani tu huko Buza Hadi vibarazani kuna lami...
Ukifika Mbezi Beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda...
Naombeni mnisaidie wapi nitapata GYM maeneo ya Mbezi Africana. Ndipo ninapoishi. Naona uzito unaongezeka na si nzuri sana kiafya.
Pia sipendi kuwa na mwili mayai mayai. Sasa maeneo ya huku sijajua wapi naweza pata Gym nianze kufanya mazoezi. Na kama kuna Kampani pia si mbaya.
Mimi naishi Mbezi...
Tunatoa huduma zifwatazo
📍-> Web Designing.
-> Logo, Banners, Posters (Graphic)Designs.
-> Business name & Company Registration. (BRELA)
-> Air Ticket 🎫Reservations and Bookings.
-> Passport Applications.
-> Visa Applications.
-> Study Abroad Programs.
(+ Scholarships included)
-> Tin...
Habari Wakuu,
Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach.
~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea.
~ Bajeti laki 5 (500,000).
~ Iwe maeneo tulivu
Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru.
Najua...
Mimi kama "Jicho la Mganga" nafikisha ujumbe huu kutoka kwa Wilfred kwenda kwa viongozi wa Tanesco! Wilfred anasema!
Takribani miezi miwili sasa Tanesco wananihangaisha!
Uungwana wangu hauna maana kwao!
Niliomba umeme pale tanesco tankibovu, kwa kufuata taratibu zote, wakaja kunipimia na...
Endeleeni kudhani wenye Akili hatujui kwanini mmeuchuna wakati siyo Kawaida yenu Kuuchuna katika Matukio kama hata tena likihusisha Taasisi ya Kiimani.
Halafu washaurini kama wataendelea kuwa hapo Makonde Wabadilike na kale 'Katabia Kero Kao' kwa Wanafunzi wa Kiume vinginevyo Moto wa Mwenyezi...
Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa kilichopo maeneo ya Mbezi Beach Makonde, Jijini Dar es Salaam kinateketea kwa moto. Chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana.
=====
UPDATE:
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule amesema moto uliounguza Chuo cha AI Mustafa Mbezi Beach Dar es salaam usiku...
Juzi tarehe 2/2/2023 Mjumbe wa Shina namba 9 Mbezi Beach B Bw. Daudi anasema alipigiwa simu akiambiwa kuna mtu ambaye amefia kokoni, ambapo alipofika eneo la tukio akakuta kichwa cha mwanaume huyo kimetenganishwa na kiwiliwili.
Tukio hilo linaonekana kufanywa siku mbili au tatu kabla kutokana...
Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa...
Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha.
Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
"Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo...
1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road)
2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara
3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
asubuhi
beach
boko
center
goba
hoteli
inapangishwa
inauzwa
kigamboni
kinauzwa
kisasa
kiwanja
kiwanja kinauzwa
kupanga
mbezimbezibeach
ndani
nyumba
nyumba inauzwa
nyumba ya kisasa
nyumba ya kupanga
tofauti
udalali
vifaa
vinauzwa
viwanja
viwanja vinauzwa
Haiingii Akilini nililishuhudia likibomolewa mwaka 2014 cha Kushangaza hadi leo mwaka 2022 lipo vile vile na kama Mwenye Jengo kaamua Kulisusia au Mamlaka nayo imeamua Kulisusia.
Tafadhali Mamlaka husika ama mumwambie mwenye Jengo alijenge upya au kama sasa lipo chini ya Mamlaka basi...
Muda huu ni majira ya saa 8:33 usiku
Manyunyu yameanza kudondoka taratibu
Hali ya hewa imeanza kupoa taratibu kidogo
Tunasema kuwa Mungu ni Mungu kwani amesikia maombi yetu
Tupeni taarifa za maeneo mnayoishi hali ikoje
Aksanteni
Kwa kweli wadau wa JF ajali za Bodaboda boda zitatumaliza.
Kwa muda mfupi jijini Dar es Salaam kumetokea vifo vingi na ulemavu vilivyosababishwa na ajali za bodaboda.
Usafiri huu unapendwa sana na akina dada lakini ni hatari sana kwani madereva wengi wa bodaboda hawana leseni na hawafati...
Kama mwezi hivi umepita!
Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco!
Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake!
Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.