mbezi beach

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

    DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya? Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi...
  2. dalaliadam

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach Tsh Milioni 150

    #001. NYUMBA YA VYUMBA 3 (KIMOJA MASTA) SEBULE, SEHEMU YA KUPATA CHAKULA, JIKO NA CHOO CHA FAMILIA. LOCATION- MBEZIBEACH GOIGI MITA MIA KUTOKA BAGAMOYO ROAD BEI - TSHS 150,000,000/= (MAONGEZI YAPO) UKUBWA WA ENEO - 441 SQM UMILIKI - NI HATI SAFI YA WIZARA MAELEZO ZAIDI - 0679268006 HII...
  3. P

    KERO Shukran DAWASA kurekebisha palipokuwa na shida hadi kutengeneza shimo, TARURA lini mtakuja kuweka lami/zege maeneo ya Mbezi Beach kwa Dr. Hiza?

    Wakuu, Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi soma hapa: Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa...
  4. P

    KERO Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Wakuu, Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami kinachoonekana hapo mwisho kwenye video ndio kinashuka na kupita ilipo supermarket ya Shopaz. Sehemu...
  5. Pascal Mayalla

    BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  6. P

    KERO DAWASA mna nini na wakazi wa Mbezi Beach? Hatuna maji siku ya 3 sasa

    Wakuu salam, Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini? Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu jamani? Mnafikiri tunaishije? Halafu maji hayajaacha kuwa na machafu/vumbi! Sasa vumbi kwenye maji...
  7. K

    Naomba kufahamishwa jinsi ya kufika Chanika kutokea Mbezi Beach usafiri wa daladala

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa kwa mtu aliye Mbezi Beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala . Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
  8. S

    Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  9. Yehoyada Yedidia

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
  10. Pdidy

    KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

    Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero. Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa. Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje. Mnatupeleka wapi maana hatujui...
  11. A

    KERO Wakazi wa Mbezi Beach tunapata maji ya bomba machafu, na yana harufu mbaya. Mlipuko wa magonjwa unakuja

    Habari JF, Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya. Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na tatizo hilo nikitaka kufahamu huenda ni mimi tu, naye akasema yapo hivyo na kwake pia (maji yalikatika...
  12. B

    KERO TANESCO na DAWASA mpaka mchukue roho zetu wakazi wa Mbezi Beach ndio mfurahi?

    Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii dhulma mnatufanyia? Yaani hili fukuto ndani kukaa mateso nje huwezi kukaa mbu zikufanye chakula...
  13. 6 Pack

    Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

    Habari wana jamii forum? Kuanzia miaka ya elfu mbili kushuka chini, eneo la Mbezi beach lilikuwa ni kati ya maeneo machache ya jiji la Dar es salaam ambayo yalikuwa na umaarufu mkubwa kama vile ilivyokuwa Masaki, Osterbay, Sinza nk. Hii ilipelekea watu wengi hasa wa mikoani wakisikia neno...
  14. JanguKamaJangu

    Hatimaye makazi ya baadhi ya wakazi wa Kijijini Mbezi Beach B (Dar es Salaam) yavunjwa

    Serikali imetekeleza agizo la kubomoa makazi yasiyo halali katika eneo maarufu la Kijijini katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Wilaya baada ya siku 14 za kuwataka kuhama kwa hiari kupita muda mrefu, huku...
  15. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: Wakazi Kijijini Mbezi Beach B waigomea Serikali kuhusu kuhama eneo hilo

    Wakazi wa eneo la Kijijini lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam wamekahidi kuhama eneo hilo kama ilivyoamuliwa na Serikali. Wakazi hao walipewa siku 14 za kuhama eneo hilo kwa hiari na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Matambule. Mkuu...
  16. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: Wakazi wa Kijijini Mbezi Beach B wapewa Siku 14 Wahame

    SERIKALI imetoa muda wa wiki mbili kwa wakazi wa eneo la Kijijini Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam kuwa ufikapo muda huo wawe wameondoka eneo hilo kwa hiari yao. Agizo hilo limetolewa mwishoni wiki iliyopita na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad...
  17. R

    Mbezi Beach eneo la wadosi na wakubwa lakini kipindi cha mvua ni kama kambale kwenye dimbwi la matope!

    Wakuu, Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi. Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
  18. JanguKamaJangu

    Kijijini, Mbezi Beach eneo hatari Jijini Dar es Salaam

    Na Waandishi Wetu, TimesMajira Online, Dar es Salaam UKISTAAJABU ya Mussa Utayaona ya Firauni. Msemo huu unakamilisha picha halisi ya maisha ya wakazi wa eneo la Kijijini, lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ukifika katika eneo hilo...
  19. JanguKamaJangu

    Bei ya kuzoa taka Mbezi Beach inapangwa kutokana na uhalisia wa mazingira na kipato

    Siku chache baada ya malalamiko kuripotiwa kuhusu gharama za uzoaji taka kwenye makazi ya watu kuwa juu katika baadhi ya mitaa ya Mbezi Beach B, ikidaiwa kuwa kuna kampuni inayotoza Tsh. 15,000 kwa mwezi kwa nyumba badala ya Tsh. 3,000 hadi 5,000 kwa mwezi, ufafanuzi umetolewa. Malalamiko yako...
  20. R

    Dar: Basi la shule la St. Florence Academy (hiace) lapata ajali maeneo ya Interchick Mbezi Beach

    Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
Back
Top Bottom