Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

DIRIMULAINA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
977
Reaction score
1,835
Salam wanajukwaa..

Kichwa cha mada chajieleza!

Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.

Haya ni matumizi mabaya ya ada!

Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.

NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
 
Hizi English medium m
paka watu waje washituke kwamba zimejaa janja janja sana itakuwa too late, hata hicho kingereza watu wanacho kimbilia huko hakuna kingereza cha maana, shule zimejaa janja janja nyingi sana kulilo elimu. Kazi kubwa ni ku manipulate matokeo kuwafurahisha wazazi.

Nikiwahi leta humu kwamba Englsh medium kama Darasa lina watoto 40 hutakaa uone mtoto hata wa 30 achilia mbali wa 40. Matokeo yanakuwa manipulated nafasi moja wanaweka hata wanafunzi 10 nafasi ya mtoto wa kwanza ina wanafunzi 7 ukishitukia ukiuliza unaambiwa waligongana. na wanaishia kwenye namba 10+ huko kwenye 30 na 40 hawafiki ili kuwafurahisha wazazi.
 
Na sijui kama Kingereza ndio akili au la, hizi Brainwash zitatuumiza sana.

Shule kama za Inteenational school sio kwamba kinacho wafanya kuwa bora ni kingereza hapana ni aina ya ufundishaji wao unao fanya watoto kuwa na uelewa mkubwa sana wa mambo mengi, kuhoji na kudadisi. Sasa sisi tumewekeza kwenye kingereza tu. Tunapigwa sana na hizi English medium na hakuna elimu ya maana pale nakataa katakata.
 
Royal Elite
 
Lugha ya mabeberu
 
Hebu nikumbushe. Mleta mada anahitaji haya maelezo yote au anataka kujua tu shule inayoivisha watoto kwenye uongeaji wa kiingereza?
 
Hizi English medium m
paka watu waje washituke kwamba zimejaa janja janja sana itakuwa too late, hata hicho kingereza watu wanacho kimbilia huko hakuna kingereza cha maana, shule zimejaa janja janja nyingi sana kulilo elimu. Kazi kubwa ni ku manipulate matokeo kuwafurahisha wazazi.

Nikiwahi leta humu kwamba Englsh medium kama Darasa lina watoto 40 hutakaa uone mtoto hata wa 30 achilia mbali wa 40. Matokeo yanakuwa manipulated nafasi moja wanaweka hata wanafunzi 10 nafasi ya mtoto wa kwanza ina wanafunzi 7 ukishitukia ukiuliza unaambiwa waligongana. na wanaishia kwenye namba 10+ huko kwenye 30 na 40 hawafiki ili kuwafurahisha wazazi.
Hii sio hoja kwahiyo hutaki watoto wafungane..mbona una wivu wa kike..kwahiyo furaha yako uone mtoto kaferi?pumbafu wa head.
 
Sista Abby Iko wapi hii shule?
Ukanda huo wa twgeta to mbezi beach.tafuta google wanaweza kuwa na website na Kuna mawasiliano Yao.
Hizi ndo zile ahule hazina mlundikano,wanatoa kitu quality.wana Milo imetulia.ukifungua daftari la mtoto we mwenyewe utashindwa msaidia.mi Kuna mtu alipeleka wanae huko sema akawahamisha sababu ya umbali na anaapoishi.
Wana usafiri mzuri na ada imenyooka japo sio sana.jaribu
 
Back
Top Bottom