Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

Tunapumbazwa sana na eti English, Mtoto anaongea Kingereza yes, sasa kibadili kisolve tatizo kwenye jamii hapana utasikia hajafundishwa.

Wenzetu kule International wanatumia Kingereza yes, ila vitu sasa wanavyo fundisha ni vya kuwasaidia watoto,

Unaweza tatua vipi matatizo kutumia Kingereza language? ni wapi usha sikia kuna umasikini kisa Lugha?
Mkuu yawezekana lugha ndio kipaumbele cha wazazi, hiyo kutatua matatizo itakuwa ni kipaumbele cha wakati mwingine...sasa wanapojisajili kama english medium si inatakiwa watoto wawe na umahiri wa lugha ya kujifunzia!
 
Mtoto anaongea Lugha na yuko nyumbanu kakaa akili hana make tusichanganye Kingereza na akili.

Unaweza kuwa umesima Kiswahili ila una akili na unazitumia kutoka,
 
Mkuu, Kuna urahisi sana Kwa mkenya kwenda kujitafuta riziki duniani kuliko mbongo..nafikiri hata takwimu za diaspora ya Kenya na TZ ni tofauti..na hii inatokana tu na lugha si jambo jingine.
Zile nchi za Francophone wanazamia hadi Uingereza au kule Italia vipi ni lugha inawafanya waende?
 
Hizi shule janja janja nyingi na kama Mzazi kichwani zipo kugubdua ujanja ni rahisi sana,

Chukua huyo mtoto wako anaye Ongea Kingereza msomee kama Dictations awe anaandika, utachoka,
 
Salam wanajukwaa..

Kichwa cha mada chajieleza!

Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.

Haya ni matumizi mabaya ya ada!

Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.

NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Mpeleke ile ya SANT GAY MEMORIOOO SUKULI ...wanaongea kingereza yaani kimombo chenyewe.
 
Mtoto anaongea Lugha na yuko nyumbanu kakaa akili hana make tusichanganye Kingereza na akili.

Unaweza kuwa umesima Kiswahili ila una akili na unazitumia kutoka,
Mkuu BLACK MOVEMENT, Yawezekana una hoja ya msingi kbs na yenye mashiko...lkn Kwa sasa tumejikita kwenye umahiri wa lugha ambayo taasisi husika zimejitabaisha kwayo...jambo la akili na problem solving skills nafikiri ni muhimu pia lkn sio ajenda ya Uzi huu ambao umejikita ktk ujuzi wa lugha kama nyenzo ya mawasiliano...nadhani umewahi ona baadhi ya viongozi wa kitaifa wanavyopata wakati mgumu pale wanapotakiwa kuadress audience ktk platforms za kimataifa.
 
Mpeleke ile ya SANT GAY MEMORIOOO SUKULI ...wanaongea kingereza yaani kimombo chenyewe.
Wakisha kuongea inawasaidia nini? Si bure Wachina wanakuja hadi kufanya Umachinga Tanzania kwa aina hizi za akili lazima waje tu Wachina.

Kuna watu kwa sasa ni Madereva na walisma English medium, wengine wanaendesha Mabasi,
 
Mkuu BLACK MOVEMENT, Yawezekana una hoja ya msingi kbs na yenye mashiko...lkn Kwa sasa tumejikita kwenye umahiri wa lugha ambayo taasisi husika zimejitabaisha kwayo...jambo la akili na problem solving skills nafikiri ni muhimu pia lkn sio ajenda ya Uzi huu ambao umejikita ktk ujuzi wa lugha kama nyenzo ya mawasiliano...nadhani umewahi ona baadhi ya viongozi wa kitaifa wanavyopata wakati mgumu pale wanapotakiwa kuadress audience ktk platforms za kimataifa.
Sikiliza shida kuuu mnatargetia watoto wenu ajira, hii ndio shida, yaani mnawatengenezea Mindset kwamba wasome Kingereza waje wajishinde usaili
interview
 
Ukisikiliza story za wazazi tunao wapeleka watoto English Medium ni swala la kuajiriwq, huu ni ujinga wa kiwango kikubwa sana.KWamba wataajiriwa na Wazungu, wanaweza fanya kazi kwa Wazungu, tuna safari sana
 
Sikiliza shida kuuu mnatargetia watoto wenu ajira, hii ndio shida, yaani mnawatengenezea Mindset kwamba wasome Kingereza waje wajishinde usaili
interview
Sio sahihi mkuu, Kwa mzazi wa kileo kama bado yupo mwenye mindset ya 'soma upate ajira' nadhani atakuwa nyuma ya wakati...tunao wadogo zetu wengi tu wenye elimu na wamekosa ajira.
 
Siku moja nilienda International schoo moja Arusha kule USA River inaitwa Kenedy House, ni shule ghari haswa.

Sasa ikiwa watoto nazani grade 5 sikumbuki walikuwa shambani, kwenye Garden, wanaotesha mbegu, wanasia mbegu kwenye vitalu, wakawa wana hadi visu vile vya kufanyia Grafting.

Nikaja kuuliza wakaniambia wanawafundisha ili wajue vitu kama hivyo,

Sasa njoo kwetu, ambako mtoto anacho jua na mzazi anacho taka mtoto aongee Kingereza tu.

Sasa Kennedy House wanalipa ada milion 20 plus na watoto wanajua mmea unavyo graftiwa, wanajua kuotesha mbegu, unategemea nini hapa?
 
Salam wanajukwaa..

Kichwa cha mada chajieleza!

Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.

Haya ni matumizi mabaya ya ada!

Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.

NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Mpeleke shule ya kawaida,.tafuta sehemu au mwalimu wa English shule anayosoma mpe mwalimu hela amfundishe km tuition kwa ajili yake tu.kwanza utaokoa hela nyingi hii njia rafiki nyangu ndio anayoitumia na inamsaidia sana na dogo anapiga shule vzr tu,hua kl j1 anampeleka kufanya mitihani kwenye tuition za mtaani na dogo anapiga vzr tena masomo yote.
NB:
Kuna generation sio watu wa shule means hata umpe mwalimu gani haelewi or kufaulu vzr so angalia hilo pia
 
Na sijui kama Kingereza ndio akili au la, hizi Brainwash zitatuumiza sana.

Shule kama za Inteenational school sio kwamba kinacho wafanya kuwa bora ni kingereza hapana ni aina ya ufundishaji wao unao fanya watoto kuwa na uelewa mkubwa sana wa mambo mengi, kuhoji na kudadisi. Sasa sisi tumewekeza kwenye kingereza tu. Tunapigwa sana na hizi English medium na hakuna elimu ya maana pale nakataa katakata.
Mleta Mada hajaomba ushauri. Anataka kujua shule inayofanya vizuri kwenye kiingereza. Hayo mengine hajakuomba. Kama huna jibu unanyamaza siyo unakuwa na kiherehere.
 
Mpeleke shule ya kawaida,.tafuta sehemu au mwalimu wa English shule anayosoma mpe mwalimu hela amfundishe km tuition kwa ajili yake tu.kwanza utaokoa hela nyingi hii njia rafiki nyangu ndio anayoitumia na inamsaidia sana na dogo anapiga shule vzr tu,hua kl j1 anampeleka kufanya mitihani kwenye tuition za mtaani na dogo anapiga vzr tena masomo yote.
NB:
Kuna generation sio watu wa shule means hata umpe mwalimu gani haelewi or kufaulu vzr so angalia hilo pia
Shukran Kwa mchango wako..lkn mwanangu anafanyia vizuri masomi yake, ni moja kati ya best pupils Kwa darasa lake...shida ni lugha ya kujifunzia anaungaunga, hawezi kuongea fluently..hii inatokana pia na shule husika kutotilia mkazo lugha ya kujifunzia badala yake mkazo wameweka kwenye matokeo...muda wote wa shule watoto wanabonga kiswahili...na tunafaham vzr kuwa namna nzuri ya kujifunzia lugha yoyote Ile ni kuifanyia mazoezi ya kuzungumza mara Kwa mara
 
Back
Top Bottom