Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mleta Mada hajaomba ushauri. Anataka kujua shule inayofanya vizuri kwenye kiingereza. Hayo mengine hajakuomba. Kama huna jibu unanyamaza siyo unakuwa na kiherehere.Mpeleke shule ya kawaida,.tafuta sehemu au mwalimu wa English shule anayosoma mpe mwalimu hela amfundishe km tuition kwa ajili yake tu.kwanza utaokoa hela nyingi hii njia rafiki nyangu ndio anayoitumia na inamsaidia sana na dogo anapiga shule vzr tu,hua kl j1 anampeleka kufanya mitihani kwenye tuition za mtaani na dogo anapiga vzr tena masomo yote.
NB:
Kuna generation sio watu wa shule means hata umpe mwalimu gani haelewi or kufaulu vzr so angalia hilo pia