Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

Hii sio hoja kwahiyo hutaki watoto wafungane..mbona una wivu wa kike..kwahiyo furaha yako uone mtoto kaferi?pumbafu wa head.
KWa akili zenu za kushikiwa huwezi elewa mchezo,kwa hio kufungana kupontu English medium? Mbona shule za Umma kuba wa kwanza hadi wa MWisho? kwa hio huko English medeum wakifungana ndio wote waishie namba 10?
 
Mkuu hii hata mm nadhani ni shuhuda, nimewahi kutana na watoto wa shule hii wakitoka shule, walikuwa ni watoto wa familia moja, walitumia lugha ya kiingereza ktk mazungumzo yao ya kawaida kama kiswahili ...nitafatilia zaidi kujiridhisha..
Kingereza sio akili,
 
Na sijui kama Kingereza ndio akili au la, hizi Brainwash zitatuumiza sana.

Shule kama za Inteenational school sio kwamba kinacho wafanya kuwa bora ni kingereza hapana ni aina ya ufundishaji wao unao fanya watoto kuwa na uelewa mkubwa sana wa mambo mengi, kuhoji na kudadisi. Sasa sisi tumewekeza kwenye kingereza tu. Tunapigwa sana na hizi English medium na hakuna elimu ya maana pale nakataa katakata.
Hata hizo international zinazingatia matumizi ya lugha za kimataifa ikiwa ni pamoja na kiingereza.Kiingereza hakikwepeki
 
Hata hizo international zinazingatia matumizi ya lugha za kimataifa ikiwa ni pamoja na kiingereza.Kiingereza hakikwepeki
Hakikwepeki wapi? Tanzania au wapi? Wachina wanafundisha jinsi ya kuitawala Dunia na baada ya hapo wanasambaa Dunia nzimaz wako kwenye nchi zinazo Zungumza Kireno, wako kwenye nchi zinazo zungumza Kifaransa na kadhalika na wanapiga Biashara.

Wachina walioko Tanzania mbona hawajui Kiswahili ila wapo?

Nchi kama Zambia, Kenyaz Uganda kote huko wanaongea Kingereza ila kuna Porverty ya kutisha, ajira hakuna na wameenda shule. Jidanganyeni ipo siku lakini
 
Hizi English medium m
paka watu waje washituke kwamba zimejaa janja janja sana itakuwa too late, hata hicho kingereza watu wanacho kimbilia huko hakuna kingereza cha maana, shule zimejaa janja janja nyingi sana kulilo elimu. Kazi kubwa ni ku manipulate matokeo kuwafurahisha wazazi.

Nikiwahi leta humu kwamba Englsh medium kama Darasa lina watoto 40 hutakaa uone mtoto hata wa 30 achilia mbali wa 40. Matokeo yanakuwa manipulated nafasi moja wanaweka hata wanafunzi 10 nafasi ya mtoto wa kwanza ina wanafunzi 7 ukishitukia ukiuliza unaambiwa waligongana. na wanaishia kwenye namba 10+ huko kwenye 30 na 40 hawafiki ili kuwafurahisha wazazi.
aisee!! Kama ndo hivyo operation ondoa watoto English medium itabidi ianze👿
 
Salam wanajukwaa..

Kichwa cha mada chajieleza!

Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.

Haya ni matumizi mabaya ya ada!

Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.

NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Kutema yai cyo mkuu 😂
 
Hata hizo international zinazingatia matumizi ya lugha za kimataifa ikiwa ni pamoja na kiingereza.Kiingereza hakikwepeki
Kinacho wapa nguvu na Ubora sio Lugha, ni Mfumo wao au Mtala wanao tumia Jomba, sasa nyie danganyanane na Kingereza, huo mtala wao wanaufundisha kwa Kingereza.

Ndio maana Mataifa ya Africa mengi yanayo zungumza Kingereza still kuna shida kwa sababu ya Mitala na sio Lugha.
 
Hata hizo international zinazingatia matumizi ya lugha za kimataifa ikiwa ni pamoja na kiingereza.Kiingereza hakikwepeki
Lugha inatumika kufundishia haitumiki kupima akilinza watoto pale International schoo.

Bongo shida sio Kingereza.

KWamba kusema Huyu ni Mama yangu, kule English Medium wakasema This is my Mather , sasa hii ndio akili yenyewe kibongo bongo.
 
Hizi hizi English Medium watoto wako mtaani kibao sana na wamesoma huko English medium, wako mtaani.
 
Tunapumbazwa sana na eti English, Mtoto anaongea Kingereza yes, sasa kibadili kisolve tatizo kwenye jamii hapana utasikia hajafundishwa.

Wenzetu kule International wanatumia Kingereza yes, ila vitu sasa wanavyo fundisha ni vya kuwasaidia watoto,

Unaweza tatua vipi matatizo kutumia Kingereza language? ni wapi usha sikia kuna umasikini kisa Lugha?
 
Back
Top Bottom