mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Tujadiliane Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni Lililojengwa Moshi Manispaa kwa Dhamani ya Bilioni 2!

    Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
  2. ZINAUZWA HARAKA UPANGA! 🏒 Apartments mbili za vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 kila moja!**

    **ZINAUZWA HARA πŸ”‘ Vipengele Vikuu: ZIPO KATIKA UBORA: Zipo katika majengo yenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: Zinauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. πŸ“ž Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225 000 ⚠️ Angalizo: "Hizi sio za...
  3. T

    Tangu Yesu Kristo aondoke duniani zimepita siku mbili na dakika 25.

    Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja. Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
  4. Mimi sio mtabiri lakini niwahakikishieni simba atafungwa goli kuanzia mbili.....

    Uzi tayari........
  5. Uzinduzi wa kampeni ya rais wa tff mtarajiwa jamal malinzi;take a time to read dont be tyd

    ednesday, October 23, 2013 KUELEKEA UCHAGUZI WA TFF: HII NDIO ILANI YA UCHAGUZI YA MGOMBEA JAMAL MALINZI UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) 2013 ILANI YANGU YA UCHAGUZI Utangulizi Ndugu...
  6. Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
  7. Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  8. Kanuni mbili za kwenda sokoni kununua bidhaa

    Kuna watu wakienda sokoni wanajikuta wananunua bidhaa nyingine (nyingi) ambazo hawakupanga kununua, hayo ni matumizi mabaya ya pesa. Zifuatazo ni kanuni kuu mbili za kwenda kununua bidhaa sokoni. (1). IFAHAMU VIZURI BIDHAA UNAYOKWENDA KUNUNUA SOKONI: Usiende sokoni kichwa kichwa, utapigwa...
  9. A

    KERO Mwanza: Hatuna Maji katika kata za Isamilo na Kiloleli

    Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka hivo lakini watu wanaumia kwa sababu hapo ni mjini hakuna chanzo mbadala cha maji. Mlipuko wa...
  10. Kijana jitahidi ujifunze angalau lugha mbili za kimataifa

    Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema. Kwa Mtanzania jitahidi ujue...
  11. Baada ya wiki mbili utaskia waziri wa nishati

    itaendelea wiki ijayo...
  12. E

    Nauza twin za mastercable 1.5 na 2.5 roller 2 bei 370,000/- zote mbili

    Piga simu Kwa maelezo zaidi 0685590415
  13. Klabu mbili za udugu ni pesa udugu wa damu uwanjani tutashudia mechi mbovu kupata kutokea!

    Kichwa cha habari kinajieleza hizi timu mbili ni mke binamu timu moja ipo kuipiga jeki nyingine ili ichukue ubingwa na kupunguza nguvu za timu nyingine timu hiyo ya singida ni godown la yanga kuhifadhia wachezaji na makocha ili wanunuliwe wakiwa tayari mwigulu nchemba ameshawalipia vibali vya...
  14. Nina milioni15 na plan ya kibanda cha 8.5mΓ—8.5m, bedrooms mbili, bati ya cover max, finishing kiwango cha mpambanaji. Hii pesa itanifikisha hatua ipi?

    Karibuni wakuu
  15. Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  16. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Wanajukwaa heshima iwe kwenu. Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki? La Hasha, Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
  17. F

    KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

    Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana. Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa. MFANO Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao makuu ya Club ya Simba/Sandaland the only one kariakoo. Bei milioni ishirini na mbili tu (22M). Hapo...
  18. Wana Simba SC tumetamba vya kutosha huenda kuanzia leo nao Wakatamba kwa kutuacha kwa Alama (Points) Mbili (2)

    Kinujumu (Kinyota) na hata Kihistoria ya Klabu yetu ya Simba ikiwa na Mechi zake katika Siku za Alhamisi kama ya hii Leo huwa inapata Matokeo makubwa mawili tu ambayo ni ama Kusare au Kufungwa. Tukishinda leo basi ni Asante Kubwa kwa Mwenyezi Mungu ila kwa Uzoefu wangu na Ubobezi wa mambo...
  19. N

    Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  20. Binadamu Ana Hofu Mbili Za Asili, Hizi Ngingine Amefundishwa

    Binadamu kiasili ameumbwa na hofu mbili tu,yaani hofu hizi ndio asili yake Hofu ya kwanza ni kuanguka,hii ni hofu ya asili tangu tukiwa utotoni, ndio maana mtoto ambaye anaanza kusimama mara nyingi huwa na hofu ya kuanguka Hofu ya pili ni ya sauti, hizi hofu mbili hatukufundishwa bali tumekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…