Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV.
Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na nini!?
Maana imeshaanza kuwa kero kwa sisi watazamaji .😠😠😠
https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj
Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa na mpendwa wako
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama motisha wa kufanya vizuri zaidi
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama ishara njema kwa jambo zuri ulilofanya
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kwa nia ya...
Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
Habari wana jukwaa...
Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali.
Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
..Press conference ya kwanza hii hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=lFV-oPTTN28
..Press conference ya pili hii hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=Eidcj4OZ5AI
CC Erythrocyte , Tindo, brazaj, Fundi Mchundo
KITOTO CHA AFU MBILI
Mtunzi: Robert Heriel
#+255693322300
Age. 18+
EPISODE 01
"Unafikiria nini Mpenzi"
" Mmmh! Sio Jambo kubwa!"
" Upo mbali Sana. Kama sio Jambo kubwa litakuwa Jambo gani "
" Bado natafakari mtunzi wa simulizi ya mapenzi yetu. Natamani...
1.Ushindi 1-0 kwa Yanga , maana yake Al hilal kivyovyote ataongoza Kundi hata akifungwa na Mazembe
2.Yalitosha kumpa Yanga points zitakazoweza kumvusha endapo atashinda mechi yake ya Leo .
Mahesabu makali ya Ibenge yamewapa Yanga unafuu wa kusonga mbele
Nimeshituka sana tangu Jana kuaona ajira za walimu na idadi ya walioomba , kumbuka anayesoma ualimu ni either 1. Mtoto wa maskini 2. Uwezo mdogo shuleni 3. Kama hayo mawili hayapo Basi alikumbwa na matatizo flani kwenye maisha, mimi ni mwalimu ualimu hauwezi kuwa kimbilio , hii idadi ya...
Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii imefanya nikifungua fb nakutana na notifications nying upande wa messager, fb account hzo zimechat na...
Kusema ukweli kuna muda huwa naamini nchi yetu imerogwa. Au ilishawahi kurogwa huko nyuma.
Tangu vita vya Ukraine kuanza Gesi imekuwa bidhaa adhimu na ya thamani sana duniani.
Mataifa mbalimbali yenye Gesi yalichangamka kuanza uzalishaji na yale yanayozalisha yalizalisha zaidi na kutengeneza...
Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu sahihi kabisa
Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600
Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300
Usiku mwema
MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
ULEGA ATOA WIKI MBILI WAKANDARASI MIRADI YA DHARURA WAWE SITE
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja.
Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya...
Wakati tupo katika mwanzo wa mwaka mpya 2025, kuna haja muhimu ya kutazama uhusiano kati ya China na Marekani, ambao ni moja kati ya uhusiano muhimu sana wa pande mbili duniani kwa sasa. Kwa ujumla, mwaka jana uhusiano huo umeendelea kuwa wa utulivu. Nchi hizi mbili zimefuata mwongozo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.