mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Mamlaka ya Bandari (TPA) imeanza kutangaza Zabuni kwaajili Ujenzi wa Bandari

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni mbili za ujenzi wa bandari ya Kisiwa Mgao mkoani Mtwara, Mbegani wilayani Bagamoyo, kadhalika bandari ya Tanga. Zabuni hizo, zinatangazwa kipindi ambacho kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali juu ya bandari zote nchini kukabidhiwa kwa...
  2. Ni dawa mbili tu nimeshuhudia zinamuachisha mtu pombe, moja nikiitekeleza mwenyewe

    1. Kupasuliwa yai - kaka wa rafiki yangu huyu alikuwa ni mlevi kupindukia, kilichofanyika ni siri yangu mimi na rafiki tu, kaka mtu kama kawa alikunywa mpaka hajitambui tena akazima, tulipomuona chap chap rafiki akamvua boxer kaka yake , nilipasua yai nikalikoroga nikaliweka kwenye bomba la...
  3. Ukraine walipua meli mbili za doria za Urusi

    Hakuna kinaachwa, iwe nyambizi, meli za kijeshi au hata za doria, yaani matumizi ya drones ni raha sana, madogo wamekaa kwenye maofisini kazi yao kubonyeza bonyeza tu, wanacheza kama video games na kuchagua wapi pa kupiga..... Ukraine's military said on Thursday it had damaged two Russian...
  4. Nina mtaji wa laki moja. Je nifanye nini ili niwe napata angalau elfu mbili kwa siku?

    Habarini wana jf. Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day. @everyone
  5. Waziri Dkt. Ndumbaro Azindua Bodi Mbili, Azipa Jukumu la Kuongeza Mapato

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amezindua Bodi ya Hakimiliki Tanzania (COSOSTA) na Bodi ya Bodi ya Filamu Tanzania na kuwataka Wajumbe wa Bodi hizo kuhakikisha sekta ya Sanaa inatoa ajira za kutosha na wananchi wanafaidi matunda ya kazi zao. Waziri Dkt. Ndumbaro...
  6. K

    Mapendekezo: For better performance, TRA igawanywe zipatikane mamlaka mbili, Mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi. Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa katika wizara ya nishati na wizara ya madini, iliyokuwa wizara ya ujenzi na uchukuzi ikigawanywa katika...
  7. Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga. Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga. Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
  8. BASATA: Tulimzuia Nay wa Mitego kufanya shoo kwa kuwa amekataa wito wetu mara mbili

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe. Mwanasheria wa...
  9. Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

    Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
  10. Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

    Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five. Kingine kama...
  11. Rais Samia kama Pindi Chana alifeli Wizara Mbili kakudanganya nani kuwa hii ya sasa ataimudu?

    Ongea yake tu kama Umesoma na Kubobea vyema katika Saikolojia utagundua kuwa hakuna Mtu na hana akijuacho na anachokiweza. Waziri muda wote akiwa katika Podium Yeye Kazi yake ni kuwa tu Sycophant ( Flaterrer ) kwa Rais Samia na si kusema Mikakati ya Wizara unategemea kweli akuletee Tija /...
  12. Mechi ya pili tangu kuanza kwa ligi, lakini Mashabiki wa Yanga wanadhani zimebaki mechi mbili kumaliza

    Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana. Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini...
  13. Ratiba ya mkutano wa kumi na mbili wa bunge tarehe 29 Agosti – 08 Septemba, 2023

  14. S

    Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
  15. K

    Ronaldo hat trick tena, Sadio Mane apiga mbili!

    Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick wakati timu yake ya Al-Nassr ikipata ushindi wao wa kwanza wa Saudi Pro League msimu huu kwa kuwafunga Al Fateh 5-0 Ijumaa hii usiku. Mbali na RonaLdo, mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Sadio Mane alianza kuifungia Al-Nassr dakika ya 28 na Ronaldo...
  16. Hamad M. Hamad: Zanzibar imefanya chaguzi 6, ni mbili tu hazikuwa na mauaji

    Dar es Salaam, Agosti 23, 2023 – Katika Mkutano wa kujadili demokrasia ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Hamad M. Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Waziri wa zamani wa Miundombinu na Mawasiliano, amezungumzia hatua zilizofikiwa katika kufanikisha mazingira bora...
  17. Naona baada ya TEC kuja na Tamko lao Wiki Mbili hizi Wine na Whiskey zitanyweka mno ili Kupunguza Presha

    Na tukizinywa hizo tutakuwa na Hasira hasa katika Maongezi na Majibu yetu huku tukizidi Kukaza Macho na Kurembua kwa sana. Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
  18. Rais wa Indonesia kuwasili Tanzania, leo Agosti 21 katika ziara ya siku mbili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Segomana Tax ameelezea ujio wa kiongozi huyo, Rais wa Indonesia, Joko Widodo katika ziara yake ya siku mbili Nchini Tanzania. Waziri Dkt. Tax amesema ziara hiyo ni matokeo ya kazi kubwa anayoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
  19. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu: Watoto njiti zaidi ya laki mbili Nchini huzaliwa kwa mwaka

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takriban watoto laki Mbili mpaka laki Tatu kwa Mwaka huzaliwa kabla ya muda (watoto njiti) Tanzania. Waziri Ummy amesema hayo katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuelekea awamu ya pili ya ugawaji wa vifaa...
  20. R

    Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

    Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…