Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo. Je, kuna ukweli wowote?
Nov 25, 2023 11:03 UTC
Netanyahu na mawaziri wakuu wa Uhispania na Ubelgiji
Mvutano umepamba moto kati ya utawala haramu wa Israel na Uhispania na Ubelgiji, nchi mbili za Ulaya ambazo mawaziri wake wakuu wamelaani mashambulizi yaliyosababisha uharibifu mkubwa ya utawala huo dhidi ya watu wa...
Ndugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana.
Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki ng'oo. Hawezi kujieleza kiingereza anatetema tu msomi huyu wa chuo..
Lakini msahiliwa huyuhuyu...
Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina.
Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la...
Ninaandika hili nikiwa na maoni chanya kabisa kwa ajili ya nchi yangu.
Napenda kumpongeza sana Speaker kuteuliwa kuwa kuwa president wa IPU.
Ila Napenda kumkumbusha kuwa asije kuwa kibaraka against our national interest, wote tunajua kuwa hizi international organizations ni tools za mataifa ya...
Hapa nazungumzia Ukatoliki na Uislamu.
1st similarity
-Wakatoliki hutumia rozari kwenye sala zao.
-Waislamu nao wana kitu kinaitwa misbahah au prayer beads, na wao wanatumia kweny sala zao.
2nd Similarity
-Wakatoliki wana quaresma, kipindi cha kufunga na kufanya toba.
-Waislamu nao...
Mishahara ya part-time lecturers iwe na bands mbili.
Band ya kwanza iwe 25% ya monthly salary ya full-time lecturers.
Na band ya pili iwe 50% ya monthly salary ya full-time lecturers.
Na mikataba yao iwe one year renewable depending on kama wataendelea kuhitajiwa.
Wanaweza wawe au wasiwe...
Wakuu namshukuru Mungu kwa hii pumzi na kwa riziki zake. Mimi ndugu yenu siku za hivi karibuni nimeona ni muda muafaka wa kuanzisha chanzo kingine cha mapato ila bado sijafanya maamuzi kamili. Nimekuwa nikiwaza sana nifanye biashara gani tofauti na ninayofanya kwa sasa ndo nikapata mawazo mawili...
Kitendo cha mwalimu kukatwa 2% ya mshahara kabla ya makato kwa ajili ya chama 'kisicho na msaada' ni mzigo mkubwa sana kwa mtumishi.
Kumkata mtu zaidi ya laki mbili kwa mwaka, ni kuongeza sonona tu kwa mwalimu huyu wa kijijini ambaye hatokuja kusaidiwa chochote na chama zaidi ya "t-shirt ya mei...
Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums nimeshamuanzishia Threads kuelezea Madhaifu yake na kwamba yasiporekebishwa ipo Siku...
Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo.
Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
Walengwa ni mabinti wenye soko kubwa chini ya miaka 28
Kwa ulaya na Marekani mambo ya kuhusisha familia hayana uzito, hata binti aolewe na kapuku hayo ni maamuzi yake na atapewa kila baraka.
Shida inakuja kwetu Afrika
1.familia ya binti ipo vizuri kiuchumi, binti, kaka, dada na wadogo zake...
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC
[emoji414] 04.10.2023
[emoji909] Highland Estates
[emoji797] 10:00 Jioni
Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wiki mbili kwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba kukamilisha taratibu za zabuni na ununuzi wa pampu, mashine za umeme wa jua na matanki ya kuhifadhia maji ili huduma...
Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu...
RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote...
Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.