Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa.
But that doesn’t mean it’s foolproof
https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6
Hii hapa habari kutoka New York Post, ya tarehe 8 mwezi huu...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi.
Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo.
‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ?
Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha.
Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi...
Jamaa wamejitahidi kutupatia classics throughout the years:
The Fast and the Furious (2001)
2 Fast 2 Furious (2003)
The Fast and the Furious: Tokyo Drift (2006)
Fast & Furious (2009)
Fast Five (2011)
Fast & Furious 6 (2013)
Furious 7 (2015)
The Fate of the Furious (2017)...
Baadhi ya maeneo ya Mji wa Nairobi yanatarajiwa kukosa maji siku ya Jumatano na Alhamisi kutokana na kufungwa kwa bomba la maji kutoka Bwawa la Gigiri kwenda Bwawa la Karura - Barabara ya Outer Ring.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Kampuni ya Maji na Usafi wa Jiji la Nairobi ilisema bomba...
Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda
Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kuanzia tarehe 8-9 February, 2024. Mh. Duja atawasili nchini tarehe 8 February, 2024 akiambatana na mwenza wake Bi. Agata Kornhauser-Duda na atapokelewa...
Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena.
Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia...
Nimefuatilia huu mjadala, kweli kuna tatizo kwa jinsi tunavyochukulia matukio, jinsi tunavyochukulia matamshi. Kilichonishangaza ni badala ya wapinzani na mashabiki wao kuiona hatari iliyo mbele yao, jinsi hawa jamaa wa CCM walivyojipanga strategically na systematically kuwin the battle and mind...
Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000...
Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
Hakika Ivorry Coast wamenipa Furaha Kubwa jana kwa Kutinga Kibabe Semi Final ya AFCON kwa Kuwatoa / Kuwafurumusha rasmi Mashindanoni Timu ya Taifa ya Mali yenye Mchezaji Mmoja kutoka Klabu Moja NISIYOIPENDA Tanzania.
Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
“Tunaendelea kuwaomba ifikapo Februari 16 tutakuwa tumekamilisha majaribio kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere na hivyo tunategemea megawati za mwanzo 215 tutaanza kuzipata [...] Tunaomba mwendelee kutuvumilia ili tuweze kukamilisha zoezi hili na hivyo kuwahakikishia mnapata umeme wa uhakika.” –...
Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu.
1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda .
2. Ukweli kuhusu kupotea Ben saanane na kushambuliwa Tundu lissu , si CCM wala CHADEMA ambae anatumia nguvu kubwa...
Afrika kwa mfano Tanzania tuna 1. Umasikini wa mawazo/ fikra na 2. Umasikini wa kifedha.
Manake Inabid tupambane na two types za umaskini at the same time.
Mapambano yanakua makali tuna pambana na umaskin WA mawazo/ fikra kwa kiwango kidogo sana halafu tunapambana na umasikini wa kifedha. Kwa...
Ndege za jeshi la anga la Uingereza (RAF) zalipua kambi za kijeshi za kundi la Houthi, nchini Yemen.
Kambi mbili tofauti zinaonekana kwenye video, zikilipuliwa na makombora ya kivita kutokea angani.
Kundi la Houthi limeleta shida katika Bahari ya Sham kupelekea usafirishaji kukwama. Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.