Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au...
Shalom,
Kuna Baa zinaendeahwa kishamba sana sijui wachawi, wanazikata tishu Moja vipande viwili sijui wanatumwa na mapepo ya kichawi.
Zinakera hizo Baa natamani kuwatukana naishia kuzikataa hizo tishu za kichawi.
Ukinawa baada ya kula msosi ukipewa hako katishu daah aibu kama unanawa uchafu
CHADEMA ORIGINAL
Freeman Mbowe
Godbless Lema
Joseph Mbilinyi
CHADEMA ACADEMIA
Tundu Lissu
Peter Msigwa
John Heche
Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao sikutarajia.
Kwa kawaida, simu yangu ilikuwa kama kiungo changu kati yangu na ulimwengu wa mitandao ya...
MAUZO NDIO MOYO WA BIASHARA
Huwa napenda kufananisha biashara na mwili wa binadamu. Ambapo mzunguko wa fedha kwenye biashara huwa naufananisha na mzunguko wa damu kwenye mwili wa binadamu.
Mfumo wa upumuaji huwa naufananisha na masoko. Pumzi ni muhimu, bila hiyo mtu anakufa. Lakini damu pia ni...
https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU
Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma
Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha Uwanja wa CCM Kirumba kwa fedha za umma licha ya kuwa Uwanja huo unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya...
LAPTOP COMPUTER HP INAUZWA BEI SAWA NA BURE
Brand: HP
Model: Probook 450 G5
Ram: 16
Storage: 512 (SSD)
Proccesor: core i5
Bei: Tsh 680,000/-
Computer bado ipo Kwenye Hali nzuri kabisa
Location Mbezi Dsm
Phone No: 0714739838
Karibuni
Wakuu habari?
Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani, sokoni na kwenye daladala, unapotoa fedha kununua bidhaa au...
Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya wakimbizi nchi hizi mbili hakuna.
Ukiangalia nchi Rwanda na Burundi amani na utulivu hupo na watu...
BEFORE I GO TO SLEEP.
Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua.
Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani.
Anaenda bafuni, humo anakutana na picha kadhaa ukutani, picha akiwa pamoja na bwana yule alomwacha...
Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu!
Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka
https://x.com/i/status/1793231455981805944
na baada ya kuwa na madaraka
https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo hatujazilipa.
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.
Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania.
Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.