Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu
Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake
Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
Maamuzi ya Jaji Wilson Nyansobera yanasubiriwa kutolewa muda sio mrefu kutoka hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam juu ya shauri lililoletwa mahakamani na Deusdedith Soka, Jackob Godwin Mlay na Frank Mbise wakiwakilishwa na mawakili Peter Madeleka, Paul Kisabo na Deogratius...
Ndio hivyo,
Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo
Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha..
Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi,
Wanunue chakula,
Wapate nauli ya kwenda kazini,
N.k
Wakati kuna milioni nyingi tu...
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol
Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Meli zinazopeperusha bendera za China na Ufilipino zimegongana leo Jumatatu, Agosti 19, 2024 karibu na mwamba unaogombaniwa katika Bahari ya Kusini ya China.
Kulingana na vyombo vya habari vya Serikali ya Beijing, China inaishutumu Manila kwa kusababisha ajali hiyo kwa makusudi.
Msemaji wa...
Tafadhali hatutaki sasa Kuwaona mkiwa Bungeni hadi pale Kijiwe Majungu chenu Mbezi Beach ( eneo nalihifadhi ) mnaanza kumpiga Majungu Mtu ambaye Kutwa mlikuwa mnamsifu na kumpamba kwa Nguvu zenu zote mlipokuwa Madarakani sawa?
Na nasikia Gwiji lingine litaondoka mwisho wa mwaka au mapema sana...
Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana.
imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo.
Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora...
Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo.
Huenda sababu mojawapo kubwa ni serikali na raia kuelekeza nguvu zao na focus yao yote katika vilabu viwili zaidi vya...
Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu.
Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
Vijana wengi Leo hii wapo busy kutafuta mambo ya Kuwa furahisha na siyo kuwa fanikisha .
Kama kijana anapaswa kujenga nguzo zifuatazo ili aweze kufanikiwa
Kwa Leo nitaongelea nguzo mbili tu , zengine wakati ujao,
nazo ni hizi .
1) kijana ana paswa kumtafuta Mungu na nguvu zake,
ili aweze...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
Mzinze anamwaga maji tu Shekhan anatia vitu 😀 huyu dogo Mfaume aliyefunga goli la kwanza yuko vizuri sana. Engineer afikirie kumleta kikosi cha kwanza
Mchezo upo Live TBC 1
Habari boss , kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS LTD inapenda kukutaarifu kuwa tunaendelea na zoezi la ukusanyaji wa mizigo katika Warehouse zetu za China🇨🇳 kwa njia ya ndege (Express)🛫.
Wiki hii Kuna ndege🛫 itaondoka China 🇨🇳kuja Tanzania 🇹🇿 alhamisi ya tarehe 02 August .
Tafadhali...
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko.
Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
Pweza ni biashara yenye faida hebu Ona huyo pweza nimemnunua 5000 ukimkata vipande vidogo vinatoka vipande zaidi ya 20 unapata 10000 pweza mmoja tu ukimtengenezea utratibu wa mpango wa mradi wenye maendeleo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.