mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoto wa wiki mbili aliyechomwa kisu afariki dunia

    Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC). Februari 22, mwaka huu Mwanamke huyo ajulikanaye kwa jina la Fausta Tesha (26) mkazi wa...
  2. Serikali ma waajiri wengine wangetoa mshahara hata mara mbili kwa mwezi ili shughuli za kiuchumi zisiwe zinadorora

    Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu. Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
  3. Huu ni wakati wa kukubali lugha za Taifa ni mbili, Kiswahili na Kiingereza

    Sijui tunakwama wapi. Ila deep inside Kiswahili ni lugha dhaifu sana yaani sio stable hata hivyo sio romantic hata kibiashara ni weak sana. Hata ukitongoza demu kwa Kiswahili na jamaa mwingine akatongoza kwa English; yule wa Kiswahili ni likely kupigwa chini mara elfu zaidi na kukubaliwa wa...
  4. Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti?

    Habari, wana JF ninaomba kupata ufahamu wa kuhusu elimu ya vyuo tanzania kuanzia vyuo vya kati na vyuo vikuu. Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti. Kwa mfumo rasmi kabisa wa TCU au NACTE Mfano. Mr Frank anasoma degree ya sheria UDSM...
  5. M

    Baada ya Kuwasoma Horoya FC naomba 'Formations' hizi Mbili zitumike katika Vipindi vyote Viwili

    Kipindi cha Kwanza Simba SC ianze na Mfumo ( Formation ) ya 3-5-2 kwakuwa Horoya FC wako vyema katika Kiungo na hasa Ushambuliaji hivyo Kujilinda Kwanza ili Kuwasoma ni Muhimu katika First Half. Kipindi cha Pili Simba SC iingie na Mfumo ( Formation ) ya 4-3-3 ambao utatufanya tushambulie...
  6. Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k. Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji...
  7. Kwa muda wa wiki mbili nimekuwa najiuliza; Rais amesema "Ataifumua" serikali, nini kitatokea?

    Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi? Sasa hivi nafikiri kwamba nchi ni disoriented,yaani watu wamechanganyikiwa akili. You see some quite spectacular crimes happenning. Juzi mtu kambaka binti yake wa...
  8. Nyimbo mbili bora za muda wote zinazopendwa kwenye baa za Tanzania

    Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini muziki nikiusikilizia Bar huwa ni mtamu zaidi ya kusikilizia nyumbani? Nyumbani nina Home Theatre nzuri ya Sony niliyonunua Dirham 1200 kule Deira, Dubai lakini huwa naona haitoi muziki mtamu kama ule wa Bar. Hata kinywaji cha Bar nadhani huwa ni kitamu kuliko...
  9. Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

    Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
  10. Aina mbili za Wachawi

    1. Wachawi wa kawaida wanaojulikana; wanaopaa na Nyungo, na kuloga na kuwanga!. Hawa wanamharibia mtu Maisha yake ya kimwili tu, kufanya mtu awe na kasoro fulani fulani za kimwili, au kimaisha. 2. Manabii wa Uongo: Hili ni kundi la Pili la wachawi!, ambalo ni hatari sana kuliko hilo la...
  11. Kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2023 na Mohamed Said, Radio One

    MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI Kichwa cha.habari kinajieleza. In Shaa Allah... Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’ Nafungua nawaona watu wa stesheni moja maarufu sana wako mlangoni pangu wananiambia wamekuja kunihoji kuhusu Mapinduzi...
  12. Tuigawanye Tanzania Pro Magufuli na Anti Magufuli, tuwe na nchi mbili tofauti!

    Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana. Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no...
  13. D

    Je unawezaje kujua kama ip address mbili zipo kwenye network tofauti?

    wakuuu mambo vipi wale wataalam wa network, ningeomba msaada kama kuna ip mbili unawezaje kujua kama zipo network moja au network nyingine...
  14. Je, unajua Delta ya Rufiji ndio eneo zimezamishwa meli kubwa mbili za kivita za Ujerumani?

    Kwa nini walikuwa wamekuja huku na walikuwa karibu kufanya nini? Washambulizi wa Biashara Baada ya kuanza Vita vya Kwanza vya Dunia, Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Ujerumani lilikuwa na manuari nne zilizowekwa katika sehemu mbali mbali za ulimwengu. Meli hizi za kivita zilikuwa tishio kubwa...
  15. Mnaomtetea Godfrey Nyange Kaburu kwanini amekatwa katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa Dhambi hizi Mbili Kisheria angetufaa?

    1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba. 2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa...
  16. Biriani na pilau wako ligi mbili tofauti, pilau yuko ligi kuu biriani anacheza daraja la nne

    Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti. Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
  17. Wakati fulani watu hufa mara mbili

    Inatokea mfumo unaamua huyu mtu anapaswa aonekane amefariki. Mara nyingi huwa ni kwa ajali au kulazwa kwa muda flani n.k but mazishi ya huyu mtu hupotezwa kwa namna flani. Inawezekana sura yake isioneshwe au anaweza uawa kwa ajali na kuchomwa moto akapotezwa kabisa. Ilhali kiuhalisia anakuwa...
  18. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti mbili za majaribio

    Disemba 12, China ilirusha kwa mafanikio satelaiti mbili za majaribio, Shiyan-20A na Shiyan-20B, kwa kutumia roketi ya LongMarch 4C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Jiuquan. Satelaiti hizo mbili zitatumika kufanya majaribio ya teknolojia mpya za kusimamia mazingira ya anga ya juu.
  19. TCRA: Usikubali kuingiza Alama za Vidole mara mbili wakati wa kusajili Line

    MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeeleza wahalifu wa mitandao ya simu maarufu kama 'Tuma kwa namba hii' wanavyosajili laini kinyemela kwa kutumia vitambulisho na alama za vidole vya watu, bila wahusika kugundua. Imesema uhalifu huo hufanywa na mawakala wanaosajili laini za simu mteja...
  20. J

    Wajuzi wa biashara wa maeneo haya, nipeni mbili tatu!

    Habari za mchana wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali. Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada. Haya wanajamvi, ndugu yenu naondoka hapa Dar es Salaam naingia mkoani kwa shughuli za utafutaji. Naombeni ushauri kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…