mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Utabiri: Yanga watashinda mbili kwa moja nyumbani, na kutoa sare ugenini, hivyo kufuzu kwa hatua ya makundi

    Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini. Msisime sikuwaambia.
  2. NetMaster

    Hili tatizo la mtandao wa tigo kusumbua ikifika saa mbili usiku ni mimi au ?

    Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata...
  3. R

    Naona siku mbili hizi Johnthebaptist hujatupia thread hapa JF, kuna nini?

    Wewe ni mmoja wa watunga thread kwa wingi per day, hapa JF. Kuna nini hujatupia? kama siku mbili hivi
  4. Mr Chromium

    Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Habari wakuu, Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata...
  5. Roving Journalist

    Panya Road 116 wanaotumia silaha za jadi wakamatwa Dar es Salaam katika msako wa siku 3

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira ya saa 22:40 huko maeneo ya Mwasonga limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya rifle iliyokatwa...
  6. K

    SoC02 Tanzania ni nchi moja yenye Serikali mbili

    Tanzania ni nchi moja yenye serikali mbili tofauti…!!!Serikali hizi hutofautiana kwa lugha,muongozo na hata wananchi wake ila cha ajabu wote ni Watanzania na Rais wao ni mmoja. Serikali A hutumia lugha ya kiswahili ili kuwasiliana na wananchi wake walakini serikali B hutumia lugha ya kingereza...
  7. L

    Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika umeibua fursa nyingi na kuleta ushindi kwa pande zote mbili

    Sekta ya kilimo katika bara la Afrika ni muhimu sana na inapaswa kupewa kipaumbile zaidi kwani kwa hivi sasa imekuwa ikiendelea kukua na kuleta mabadiliko mengi ya kiuchumi. Sekta hii ndio inashikilia ufunguo wa siri za mafanikio ya kuondoa uhaba wa chakula, kuleta usalama wa chakula na...
  8. Meneja Wa Makampuni

    House4Rent Nyumba inapangishwa Tabata Shule laki mbili kwa mwezi

    Nyumba inapangishwa Tabata shule. Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba. Kodi laki mbili kwa mwezi Call me 0747744895 Mnakaribishwa.
  9. Kiranja Mkuu

    BRELA mnatia aibu; kusajili jina la kampuni zaidi ya wiki mbili?

    Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana. Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
  10. GoJeVa

    SoC02 Pande mbili za Tanzania yetu

    PANDE MBILI ZA TANZANIA YETU. SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. SEHEMU YA PILI: WANANCHI NA UFUKARA, WATAWALA NA UKWASI. TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. Chanzo cha picha: mtandaoni.(hawa ni vijana wa kitanzania waliovalia kiasili). Tanzania ni nchi...
  11. S

    Ikulu ya Ukraine yalalamika kuwa Urusi imeziangamiza melivita mbili za Ukraine

    Ikulu ya rais Zelensky wa Ukraine inalalamika kuwa Urusi ameziangamiza melivita mbili za jeshi la Ukraine kwa kutumia makombora ya shabaha kali yaliyorushwa toka kwenye ndegevita za Urusi. Ndege hizo zilishambulia zikiwa kwenye kijiji cha Novofedorivka huko Crimea. Mwambieni Zelensky aache...
  12. Checnoris

    Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui

    Nawashangaa Sana wanaokwapua tablet maarufu kwa kimombo kishkwambi. Jamani sensa itatusaidia sote mnaiba za nini. Mkatumie bando mnalo? Kwa kweli ukija hata ukinishia tablet nakwepa. Begi langu nalinda asije mwizi akanichomekea mtu. Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui.
  13. sky soldier

    Nyumba za kupanga, tabia iliyonikera ni Mtu mzima na akili zake anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili, wewe je ?

    Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
  14. Lanlady

    Kwanini kodi ikatwe mara mbili kwa kipato hicho hicho kimoja?

    Sio kwamba hatutaki kutozwa kodi. Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja? Mshahara unakatwa kodi (PAYE), bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu...
  15. TATACHACHA

    Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  16. Mbaga Jr

    Dstv wanaweza kurudisha pesa kama umenunua kifurushi mara mbili?

    Inasikitisha sana wakuu
  17. J

    Chongolo azibana Wizara mbili upimaji wa Ardhi

    CHONGOLO AZIBANA WIZARA MBILI UPIMAJI WA ARDHI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo ameitaka Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Ardhi kuweka malengo kwa kila Mkurugenzi, Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanayatambua maeneo yote na kuyawekea programu ya kila mwaka...
  18. GENTAMYCINE

    Wananchi wa 'Northern Malawi' tunawakumbusha waliosahau kuwa zile 'Ndege' zingine Mbili zilizokuwa ziwasili mapema mwaka huu mbona hazijatua bado?

    Wengine kama akina GENTAMYCINE tuna Udhaifu Mmoja mkubwa wa Kukariri Jambo na Kutosahau Milele hivyo tunakumbusha tu ujio wa Ndege zetu zingine Mbili Kubwa za Air Northern Malawi. Halafu tunawaombeni kama ambavyo huwa mnapenda Kukurupuka kwa kutafuta Sifa Kwetu Wananchi wa Northern Malawi juu...
  19. JanguKamaJangu

    Iran: Mafuriko ya siku mbili yauwa watu 53

    Mafuriko ya siku mbili maeneo ya Tehran yameuwa Watu 53 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Serikali. Mkuu wa Kitengo cha Msalaba Mwekundu, Mehdi Valipour amesema Watu wengine 16 hawajulikani walipo baada ya tukio kuathiri Watu 400 katika Vijiji 18 na kusababisha miundombinu mingi kuharibika. Wiki...
  20. FRANCIS DA DON

    Amini usiamini, Tanzania hadi sasa ina flyover mbili (2) tu zinazofanya kazi rasmi

    Maana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli? Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
Back
Top Bottom